
nipo na magwiji wa habari toka shoto nicodemus ikonko (habarileo), suk chat (deiliniuzi), francis mushi (mchawi wa kompyuta deiliniuzi), mzee stephen Rweikiza (amestaafu na katufundisha kazi sie wote hapo), na d. mwita mbaye yuko unicef sasa kama afisa habari akitokea this day alikohamia baada ya kutoka deiliniuzi


Suk Chat anazidi kufanana na marehemu baba yake Mzee Chattabar. Mnakumbuka yule Mzee alivyokuwa anagawa miwani bure? Nilimkosa Mzee Rwekiza nilivyokuwa bongo last year. Michuzi, lazima upange tukatane na the crew, tukumbuke the Good Old Days za Daily News. Namwona Ikonko.
ReplyDeletePicha imetulia! Vipi bado timu yako ya kijarida cha delinyuzi iko makini? Tupe picha kaka. Kuna kale kademu kana andika crazy bongo (siku nyingi kidogo) nilika maind...
ReplyDeleteMichuzi umetoka mchicha,wapi leboooz?
ReplyDelete