nipo na magwiji wa habari toka shoto nicodemus ikonko (habarileo), suk chat (deiliniuzi), francis mushi (mchawi wa kompyuta deiliniuzi), mzee stephen Rweikiza (amestaafu na katufundisha kazi sie wote hapo), na d. mwita mbaye yuko unicef sasa kama afisa habari akitokea this day alikohamia baada ya kutoka deiliniuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Suk Chat anazidi kufanana na marehemu baba yake Mzee Chattabar. Mnakumbuka yule Mzee alivyokuwa anagawa miwani bure? Nilimkosa Mzee Rwekiza nilivyokuwa bongo last year. Michuzi, lazima upange tukatane na the crew, tukumbuke the Good Old Days za Daily News. Namwona Ikonko.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2007

    Picha imetulia! Vipi bado timu yako ya kijarida cha delinyuzi iko makini? Tupe picha kaka. Kuna kale kademu kana andika crazy bongo (siku nyingi kidogo) nilika maind...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2007

    Michuzi umetoka mchicha,wapi leboooz?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...