hayati hemedi maneti wa vijana jazz ni moja ya majina makubwa ya wanamuziki ambayo si rahisi kuyasahau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2007

    Hivi marehemu Maneti alikufa na nini? Sikumbuki ni muda mrefu kidogo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2007

    Kweli ndio maana tunaona kila mtu anaimba siku hizi. Tunahitaji kuziba pengo kwa vile tumepoteza sana wanamuziki wetu wengi na walikua wazuri sana.

    Sidhani kuna mtu ataweza kufill their shoes.

    RIP

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2007

    Anon wa 11:36am, jibu lako ni kwamba Hayati Manet alikufa na KUZIKWA, alitaka afe na nini hebu tuambie kama unjibu zaidi ya hili.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2007

    Aha kumbe ni wewe Pimbi, sikujua kama ni pimbi kiasi hicho hujui mtu anakufa na nini?. Nafikiri kamuulize Zena atakwambia kilichomuua Manet, bado wewe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2007

    we pimbi pumba kweli unataka nini hasa kujua kilichomuua? mtu amekufa basi, pumzika kwa amani maneti!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2007

    Hilo swali hapo juu halina maana au maslahi kwa muulizaji au jamii.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2007

    Muulize Kida Waziri

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2007

    Hakika hayati Hemed Maneti Ulaya atakumbukwa sana katika medani ya muziki wa dansi nchini.Maneti alijaaliwa kuwa na sauti adhimu iliyokoleza utamu wa nyimbo alizokuwa akiimba.Kadhalika mwana huyu wa Maneti alijaliwa kuwa na kipaji cha utunzi. Sauti yake ilitamba sana enzi hizo akiwa na Vijana Jazz Band wana Pambamoto. Katika nyimbo za Wifi, Penzi haligawanyiki,Bujumbura na Tambiko la Pambamoto sauti ya al-marhum Maneti imesikika vilivyo. Akishirikiana na marehemu Eddy Shebhughe Sheggy, Mawanzo Hunja, Rashid Pembe, Kida Waziri na wengineo aliweza kuiweka katika chati ya juu kimuziki bendi ya Vijana Jazz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...