kepteni john jumla -kulia- (bofya http://dailynews-tsn.com/page.php?id=6734) wa jeshi la ulinzi akiwa eapoti majuzi tayari kuelekea kameruni kutambua mwili wa mkewe kepteni leticia oswald (bofya http://dailynews-tsn.com/page.php?id=6689) ambaye ni mmoja wa wahanga wa ndege ya kq iloanguka na kuua abiria na wafanyakazi wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2007

    This came as a surprise to me. Blog for Kenya! I'm Kenyan by the way.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2007

    Ee Mungu baba
    upokee roho za marehemu
    Uwafariji wafiwa. Wewe ni baba wa watu wote. Amen

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2007

    Michuzi turekebishane Kiswahili.
    Mtu anayekufa katika ajali haitwi Mhanga kwa sababu hajajitoa muhanga kujiua.Mhanga ni mtu anayejitoa nafsi yake kujiua.
    Wale waliokufa katika ajali ya ndege kule Douala Cameroon huwezi kuwaita wanga kwa vile hawakuingia ndani ya ndege kwa ajili ya kwenda kufa.
    Tuwaite waathirika wa ajali.

    tafadhali tuzingatie Kiswahili sanifu maana kuna watu nje ya nchi wanaojifunza lugha hii kwa kupitia pia blogu yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...