
wakati dayamondi kunwaka moto usiku, katika klabu ya upanga kulikuwa na mchuano mkali wa snuka kugombea kombe la pooja snooker challenge cup ambao ulichezwa kwa mtindo a ligi na kushirikisha wachezaji 32. mshindi aliiibua dhiresh kaba (watatu toka kulia) na wa pili alikuwa ally gulamali (anayemfuati). wengine ni mashabiki wao. dhiresh ni mdau mkubwa wa globu hii. hongera sana braza!!
Doh! comments zangu kuhusu hao jamaa hapo juu umezibania!!!
ReplyDeleteNaona ni kweli wapinzani wa jadi wa CUF (au CUFU wenyewe) wanakupiga mkwara!
Haya Mr Michu, hii ndio Africa.
Week-end njema
wana makaratasi hao kweli???
ReplyDelete