kwa mahesbu ya blogu yetu hii mpendwa waziri mkuu wetu mstaafu frederick sumaye anatarajiwa kuhitimu masomo yake huko havard wiki ya kwanza ya julai na mambo yakienda vyema atarejea nyumbani. hapa akisalimiana na wadau wanaoishi huko aliko mwezi septemba mwaka jana. hakika tumem-miss. mambo ya ndivyo sivyo bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2007

    Fredrick Tluway Sumaye...TLUWAY maana yake mvua kwa Kiiraq. Kijana wa Endamarariek kule Hanan'g. Watu wanafikiri ni Mmasai utasikia Aaa kila mara waziri mkuu Masai Sokoine, Sumaye, Lowasa...kwa taarifa yenu kwenye listi hapo Mmasai ni mmoja tu!!! Any way hakuna UKABILA Tanzania. Chapeni kazi waungwana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2007

    "KILA AWACHAFUAYE WENZAKE KWA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI ILI AWE RAIS AKIFIKA IKULU ATACHARANGA NJIA YAKE KWA RISASI"- F.W.T.SUMAYE (2005 WAKATI WA KAMPENI ZA KUWANIA URAIS, NGAZI YA CHAMA).

    MICHUZI JANA UMEYABANIA MAONI HAYA, LEO MNIMEYA-EDIT KIDOGO;UISYATUPE TAFADHALI, SI UNATUAMBIA HII NI BLOG "YETU" SASA MBONA UNABANA?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2007

    Wewe anoy hapo juu mbona unajikanyaga mwenyewe. Who cares na nani ameshauliza mambo ya wamasai au waarusha. Just do your job and keep quite. Wewe ndio unapoteza muda kuwaza ya kijinga msuya, malechela ni masai pia???? Find something to so

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...