haya tena wadau, kama ulkidhani mambo ya ulimbwende yapo dar tu, umeona. katikati ndiye miss wa kwanza kupatikana kutoka tanga mary damian mwita ambaye ni mtangazaji wa tv ya tanga (21) ambaye aliibuka kwa kushinda taji la kitongoji cha miss chumbageni juzi baada ya kuwabwaga vimwana wengine tisa. kulia ni mshindi wa pili rukia jumbe (19) na salma butenge aliyekuwa wa tatu. promota asmaha macau anasema mwaka huu miss tz wakae sawa kwani taji lazima liende waja leo waondoka leo...mengi zaidi toka huko bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2007

    Tutafanyeje ndio warembo wa Tanga hao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2007

    jamani huyo salma butenge (mshindi wa tatu) mbona sura iko hoi? hata foundation tu ameshindwa kuweka?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2007

    Tanga hamna tatizo la urembo shida ipo kwenye BRAIN!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2007

    mmmmhhhh
    ni warembo hao mbona hawana mvuto

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2007

    mmmhhhhhhhhh mbona warembo wenyewe hawana mvuuuuuuto?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2007

    Huyo Mwenye Pink ( Mshindi wa Pili Kapendeza) sasa sijui aliboronga kwenye vigezo vingine ndio wakampa ushindi wa Pili au ndio maamuzi ya ki-bongo ktk Shughuli kama hizo

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2007

    Ni kweli Tanga mambo yote poa ila kichwani kama kuna jokofu maaana brain imeganda.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2007

    Chumbageni oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhh!!!
    For your info...brains are very there ....Mabinti wakitanga eeeh...

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2007

    Mambo ya maji ya iliki na kisaani cha chai huku umekalia kigoda unaoshwa, kuna jamaa yetu tulipokuwa USAGARA A-Level aligoma kurudi Dar baada ya kumaliza shule 1996,

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 17, 2007

    WANAWAKE BONGO KUONEANA WIVU NDIO WENYEWE.
    NA WATANGA NDIO WA KWANZA TUNAONGOZA KWA KUONEWA WIVU.
    SABABU...............SIIONI.
    WAREMBO MSIBABAIKE UZURI WAKO AUONA ALOKUTUNUKU!!!!!!!!!!!!
    MSIJALI HOJA ZAO MMESHAJALIWA WATOTO!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 18, 2007

    Looks matter, BUT looks wear away, girls should always remember that.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...