
haya tena wadau, kama ulkidhani mambo ya ulimbwende yapo dar tu, umeona. katikati ndiye miss wa kwanza kupatikana kutoka tanga mary damian mwita ambaye ni mtangazaji wa tv ya tanga (21) ambaye aliibuka kwa kushinda taji la kitongoji cha miss chumbageni juzi baada ya kuwabwaga vimwana wengine tisa. kulia ni mshindi wa pili rukia jumbe (19) na salma butenge aliyekuwa wa tatu. promota asmaha macau anasema mwaka huu miss tz wakae sawa kwani taji lazima liende waja leo waondoka leo...mengi zaidi toka huko bofya hapa


Tutafanyeje ndio warembo wa Tanga hao.
ReplyDeletejamani huyo salma butenge (mshindi wa tatu) mbona sura iko hoi? hata foundation tu ameshindwa kuweka?
ReplyDeleteTanga hamna tatizo la urembo shida ipo kwenye BRAIN!!
ReplyDeletemmmmhhhh
ReplyDeleteni warembo hao mbona hawana mvuto
mmmhhhhhhhhh mbona warembo wenyewe hawana mvuuuuuuto?
ReplyDeleteHuyo Mwenye Pink ( Mshindi wa Pili Kapendeza) sasa sijui aliboronga kwenye vigezo vingine ndio wakampa ushindi wa Pili au ndio maamuzi ya ki-bongo ktk Shughuli kama hizo
ReplyDeleteNi kweli Tanga mambo yote poa ila kichwani kama kuna jokofu maaana brain imeganda.
ReplyDeleteChumbageni oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhh!!!
ReplyDeleteFor your info...brains are very there ....Mabinti wakitanga eeeh...
Mambo ya maji ya iliki na kisaani cha chai huku umekalia kigoda unaoshwa, kuna jamaa yetu tulipokuwa USAGARA A-Level aligoma kurudi Dar baada ya kumaliza shule 1996,
ReplyDeleteWANAWAKE BONGO KUONEANA WIVU NDIO WENYEWE.
ReplyDeleteNA WATANGA NDIO WA KWANZA TUNAONGOZA KWA KUONEWA WIVU.
SABABU...............SIIONI.
WAREMBO MSIBABAIKE UZURI WAKO AUONA ALOKUTUNUKU!!!!!!!!!!!!
MSIJALI HOJA ZAO MMESHAJALIWA WATOTO!!!
Looks matter, BUT looks wear away, girls should always remember that.
ReplyDelete