mdau zamunda akiwa na kundi kali la wabongo wanaopigia bongo fleva toka washington ambao wanaitwa tha swahili huko ughiabuni jana. wote wametoa salaam za pongezi kwa washindi wa tuzo za kili na kutoa rai kwamba waandaaji wasisahau kusaka vipaji vya kibongo vilivyo nje kwenye mchakato wa mwaka ujao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2007

    Duh! Huyo Zamunda anatisha, ukikutana naye usiku lazima utoke baruti.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2007

    Tha Swahili kwa kwenda mbele......nawafagilia.MBUNGE.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2007

    box litawaua vijana, naona migongo ilishaanza kupinda

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2007

    Sasa vipi mjomba nbona hao wengine hujatupa majina yao

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2007

    wee mganga hicho kiglass cha nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...