ile ngoma ya kunanihii kule uswazi inakaribia....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2007

    daa huyo jamaa kiukweli anafaidi mno, mtoto chuchu saa sita

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2007

    godliva upo..!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2007

    Dah, huyu mwanzilishi wa hii ngoma ana akili sana. Maana alijua tu bila hii ngoma asingeweza kupata binti bikra hata siku moja! Njia rahisi ilikuwa ni kuwahidi kuwa anayeweza kutunza bikra yake mpaka miaka ya kuvunja ungo, ataolewa na Mfalme. Watu wengi wanaishutumu hii ngoma, lakini ukweli ni kwamba kutokana na hii ngoma, at least kila mtu nchini Swaziland ana undugu na Mfalme! Tokea miaka hiyo mpaka leo, angalau kila mtu ni ndugu ya Mfalme. Hii inaleta umoja na maelewano makubwa sana nchini mwao.

    Hapa bongo, ukitafuta na kupata bikra ya miaka 18 bila shaka utapigwa na mshangao mkubwa sana!. Kwa kifupi, hakuna! Watoto wa kike wanaanza kurusha vitu vyao umri miaka 15 tu. Binti wa kike miaka 18 wa kibongo akikupatia CV yake ya ngono, hauhitaji kutafuta mchawi au sababu ya UKIMWI kututeketeza kama hivi!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2007

    Na mabibi zetu walikuwa wanatembea vifua wazi, bila aibu! Mwalimu ndo kasema hakuna kutembea vifua wazi. Hebu na sisi tuanze kutembea vifua wazi tena. Tusisahau utamaduni wetu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2007

    Issa Michuzi acha uoga, hujasema hao wamepanga foleni baada ya kupass zoezi. kufikia hapo waliposimama mbele ya king walipitia zoezi la ukaguzi, bofya HAPA

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 01, 2007

    Hapo mbele ni saa sita tu....!!!! Damn Mswati, kila mwaka lazima apite mbele ya hizi chuchu!!! Hivi wanapimwa ngoma hawa?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 01, 2007

    haka ni kale ka binti mfalme, ambako kanampinga baba yake kuoa oa hovyo kila mwaka vibinti vilivyo sawa na umri wake! nadhani kuishi Ukerewe kumemfunua macho kidogo. Ttaizo linakuja dadie anamwangaliaje bintiye umri huu titi nje????? mila nyingine bwana, mw'mke kazidi kudhalilika!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 01, 2007

    chu chu chu! tototooo! dah watoto wana nyonyo nzuri hawa jamani dah!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2007

    Kaka Issa huu ni utamaduni wetu bwana. Mi personally nawakubali hawa jamaa wa Swaziland. Maana wao waliondokana na ile kasumba kwamba kila kitu cha mzungu ni safi na mwafrika ni bure! Anyway...wengi tuna mitizamo tofauti lakini hatuna budi kuheshimu mila za wenzetu!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 01, 2007

    Kila watu na tamaduni zao sisi wabongo tunapenda sana tigo au vishuzi wenzetu wanapenda nido tena za watoto wadogo kuna kazi!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 02, 2007

    vichuchu nje nje natamani nishike lakin naogoopa kupigwa mshale wa nonini bureeee..
    picha tamu sana hii

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 02, 2007

    Sir Issa..vipi Mzee wa MATUKIO..NAONA MZEE UTAMADUNI WA USWAZI UMEKUVUUTIA...HIVI UMRI HALALI KWA NDOA BONGO NI MIAKA NGAPI MZEE..:((((

    ReplyDelete
  13. Safari hii na mimi ndani ya nyumba, jamaa si anachagua mmoja tu? wale wanaobaki na mimi lazima niopoe mmoja, halafu hii nzuri sana sio kama chagulaga mpaka utumie nguvu sana baada ya mbio za muda mrefu.

    ReplyDelete
  14. huyo binti naona amefanana na kidume Mswati.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 02, 2007

    MICHUZI UMEANZA...

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 02, 2007

    halafu wasichana weupe ndo wanawekwa mbele na ukiangalia wake za mswazi wote au 95% ni light skin sasa kuna maana gani ya kuwaweka hao vyeusi mangala kuonyesha maziwa yao for nothing? tabia chafu kabisaa inatia huruma ndio maana hiyo nchi after 10years with no change on people's thinking and behaviours will be GONE,there will be no more swaziland...EEEE mungu inusuru hii nchi waondelee mawazo ya hayo madudu wanayofanya.

    ReplyDelete
  17. Mtoto wa mswati she looks pretty hapo naamini kuna vidume macho yamewatoka ile mbaya maana huyu mtoto duh hata mie huku nashindwa kusema kabisa lakini bonge moja la picha braza michu

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 02, 2007

    huyo demu hapo mbele ni mtotowa mswati

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 02, 2007

    Hao wasichana elimu kichwani hakuna wanategemea kujianika uchi ili waishi wakichaguliwa au wasipochaguliwa na Mswati baada ya hiyo ngoma kwisha.

    Kwa kifupi maisha yao yanategemea Sekta ya uchumi inayotegemea Uchi baada ya ngoma hiyo kwisha ndio maana Swaziland ukimwi kwa watoto wa kike wadogo umejaa kibao.

    Kule ukiwa mroho wa chuchu changa lazima utakufa.Vitoto vya kike kule vina nyege sana na vikikolea utamu vinachomoa kondomu haraka kwa spidi ya mwewe na kuchomeka dudubaya tena ndani likiwa tupu bila kondomu, vinasema havisikii utamu ukiwa umevaa kondomu hivyo huvizia ukikolea vinachomoa kama wewe mbishi.

    Wanaume wengi Swaziland wamepata ukimwi kwa njia hiyo.

    Kule kifo nje nje.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 02, 2007

    We anon May 02 kumbe yalikupata mpaka unajua spidi zao kali za kuchomoa ndomu dhuu shauri zenu lol! mnaambiwa kaaeni na wa kwenu nie mnataka onja mi soup ya afrika nzima mtajijua!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 03, 2007

    wote mnaongea pumba, huyo Mswati dawa yake ni kupata bikra mwenye virus kwani anaweza kuvipata kwa wazazi wake na bado akawa bikra na hiyo itakuwa fundisho kwa wote. Je wanaume nao wanakaa bila kufanya mpaka wanataka mabikra? acheni ubaguzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...