wahanga wa mtn cameroun waliokufa kwenye ajali hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2007

    Hivi Mtanzania tuliyempoteza jina ni nani? Kwasababu kutokana na habari ni kuwa kulikua na mtanzania moja kwenye ndege hiyo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2007

    Biblia inasema asiyependa wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamini(kafiri0.Yaani mnapiga picha za wengine waliofariki mnaacha kuonyesha picha ya mtanzania mwenzenu aliyefariki kwenye hiyo ajali.Kweli nyie wapiga picha wa tanzania ni wabaya kuliko makafiri.

    Mnaweka mbele picha za raia wa nje mnaacha wenu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2007

    Ulikuako huko? Je unajua kuwa picha yake ilikuako hapo au unakurupuka na kusema tu watu? Jamani wabongo wengine na hizo roho zenu mkifa mtakua mkaa wa kuchoma wengine jehanamu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2007

    Taarifa kwa Anon wa pili:

    Hapo kwa mujibu ya taarifa hii ni ktk maombolezo ya wafanyakazi wa MTN-Cameroon waliofariki dunia ktk hiyo ajali. Wasingeweza kuweka picha ya mtanzania aliyefariki ktk hiyo ajali ya marehemu wengine 110 kwa kuwa HAWAKUWA wafanyakazi wa MTN-Cameroon! Umeelewa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...