Home
Unlabelled
wahanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi Mtanzania tuliyempoteza jina ni nani? Kwasababu kutokana na habari ni kuwa kulikua na mtanzania moja kwenye ndege hiyo.
ReplyDeleteBiblia inasema asiyependa wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamini(kafiri0.Yaani mnapiga picha za wengine waliofariki mnaacha kuonyesha picha ya mtanzania mwenzenu aliyefariki kwenye hiyo ajali.Kweli nyie wapiga picha wa tanzania ni wabaya kuliko makafiri.
ReplyDeleteMnaweka mbele picha za raia wa nje mnaacha wenu.
Ulikuako huko? Je unajua kuwa picha yake ilikuako hapo au unakurupuka na kusema tu watu? Jamani wabongo wengine na hizo roho zenu mkifa mtakua mkaa wa kuchoma wengine jehanamu
ReplyDeleteTaarifa kwa Anon wa pili:
ReplyDeleteHapo kwa mujibu ya taarifa hii ni ktk maombolezo ya wafanyakazi wa MTN-Cameroon waliofariki dunia ktk hiyo ajali. Wasingeweza kuweka picha ya mtanzania aliyefariki ktk hiyo ajali ya marehemu wengine 110 kwa kuwa HAWAKUWA wafanyakazi wa MTN-Cameroon! Umeelewa?