nasikia akon anatafutwa na mchungaji baada ya binti yake (mchungaji) kumwaga lazi kama inavyonekana sijui wapi huko... haya, sie yetu macho na masikio


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2007

    AKON NAE BABAYAKE MSWALIHINA KICHIZI

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2007

    mambo ya Trinidad hayo, hiyo kitu imeshaiva na inalika kabisa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2007

    Mmmmmh Michuzi aibu sasa,hii kesi iliisha kama mwezi na nusu,lakini jamaa alijua binti yuko above 18 otherwise asingeweza kuingia kwenye concert,lakini kwa sasa jamaa ana kesi ingine tena..naona hela inalevya sasa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2007

    Mr. Michuzi kwa ufahamu wangu hapo inaonyesha Akon alikua anafanya show ndani ya Trinidad kutokana na hiyo bendera nyuma ya stand.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2007

    hiyo dance mmemcost jamaa...Verison wameacha kumsponsa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2007

    michuzi umechelewa, haya mambo mbona siku nyingi.....

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2007

    Brother michuzi mbona umechelewa? Kwa taarifa rasmi ni kuwa Bwana huyu ni Muislam aliyeowa wake 4 lakini kuna mwanamke mwingine kamtia mimba na anakaribia kujifungua, NJE YA NDOA...na video ya huyo Mwanamke hapo juuu hii hapa
    http://burudani.wordpress.com/2007/04/26/burudani/

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2007

    hiyo bendera ni ya trindad and tobago kwa kina dwight yorke sasa sijui ni huko kweli au ni marekani maana marekani kumbi za starehe za watu kutoka nchi mbalimbali hupenda kuweka bendera za mataifa yao, hata sisi wabongo tumeweka bendera yetu pale kwenye klabu ya wakenya georgia avenue washington dc.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 13, 2007

    Michuzi unatuweka njia panda

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 13, 2007

    Hii ilikuwa Trinidad and Tobago. Video yake iliondolewa toka YOUTUBE miezi kadhaa iliyopita mara tu baada ya kupostiwa. Sasa kuna picha tu
    HAPA PICHA1
    HAPA PICHA2


    Mmesikia pia kuwa George Bush aliibiwa saa alipokuwa anawave mikono kwa wa albania, ni kama bongo vile, bonyeza hapa, angalia mwanzoni Bush ana saa mkono wa kushoto, baada ya kushake mikono na wahuni, saa hana tena! Ni kama bongo vile.
    Bofya HAPA BUSH KAIBIWA SAA ALBANIA

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 13, 2007

    MJOMBA MANENO YAKO HAPO JUU YAWEZA KUWA SAHIHI AU HAPANA. LAKINI NI KWELI SAA YAKE YENYE MKANDA MWEUSI IMEYEYUKA.
    HUENDA IKAWA AMEIBIWA AU AMEDONDOSHA KATIKA HARAKATI ZA KUTAKA KUSALIMIANA NA WASHABIKI WAKE.
    AMINI USIMAMINI, HAWA WAKOSOVO WANAMUONA BUSH KAMA MUNGU MTU. NA SASA NIMEAMINI KWELI MTWANA NI MTWANA TU.
    KAMA KWELI AMEIBIWA SAA YAKE, SAWASAWA NA HUYO HUYO KIBAKA ATAKUWA AMELAMBA DUME KWANI BEI YA HIYO SAA, ANAJUA SONARA.
    GRACIAS.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 13, 2007

    Hapana anayefagiliwa Kosovo ni Clinton kwa sababu ya vita vya Kosovo 1998-99 siyo Bush, maana Bush amekuwa indifferent kuhusu swala la uhuru wa Wa-albania....Just saying....

    ReplyDelete
  13. Huyu jamaa aliyevaa fulana nyekundu na sarawili ya jinzi anafanana sana na Bro K - Singo

    Naoma kuwasilisha!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 14, 2007

    Akon ametoa wimbo wa kuomba 'radhi' kiaina aina kwenye site yake ya myspace, ingawaje anashutumu kila muhusika, jamaa kwa kweli ni 'msanii' check him out kwenye myspace page yake!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 15, 2007

    Michusi tafadhali please take this picture off the blog. I look at your site when i'm in an open plan office and when I'm scrolling I really have to rush past this picture coz its just not nice!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...