jicho jekundu la watani wa jadi limerejea tena bongo. angalia nje...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2007

    Ebo! nasisi tumeshapata hiyo RAV 4 ya macho kwa kumwangalia? du utafikiri kameza bonde la ufa??

    ReplyDelete
  2. True. Nimemuona dada mmoja hapa kazini kurasini (TIA) jicho yau-yau. Swali hapa 'redai' inaambukizwa vipi na inaepukika vipi? Tusije wote tukawa kama tumivuta 'ribangi' rimoja

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2007

    Hawa watani wetu wa jadi wakishaanza kulipuana na uchaguzi kukaribia, sisi wanaturushia Nairobi Red Eyes! Mungiki nini?!!

    Yaani noma sana! Watoto wanalia kila mtaa! Ogopa sana hiyo gonjwa ya watani wetu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2007

    Kwanza pole kakaangu kwaugonjwa huu wa kipindupindu cha macho! tatizo watu wengi hawajagundua unawapata zaidi wale watu wanaopenda kupiga chabo vitu vizito! Kaka Michuzi plz unaambukiza ata kwanjia ya mtandaoni usituwekee vitu hivi tutaogopa kufungua blog yako. Cheers!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2007

    Huyu ni binadamu au ndondocha

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2007

    Eh MUNGU! Nairobi Red Eyes umerudi!

    Naweni mikono jamani!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2007

    kapime blazaangu dalili hizo !

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 12, 2007

    osha mikono kila mara. Na pia sun glasses ni muhimu kwa vumbi liziingie kwenye macho na hiyo vumbi yenye vijidudu lisiingie

    Hiyo myths ya kkusema ukimwangalia unapata ni just urban legend myths

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 12, 2007

    Hivi hili gonjwa halina kinga? Nchi za wenzetu lipo kweli au ndio umasikini wetu kila gonjwa lazima nalo litupate.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 12, 2007

    Huu ugonjwa unaambukiza kwa kumuangalia mngonjwa sasa michu kutuwekea kwenye hii blog, jiandae kwenda mahakamani kwa kusambaza "Narrow Bee-fly"

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 12, 2007

    michuzi hivi kuna umuhimu gani wa kuweka hii picha hapa.
    tumeshaiona itoe basi
    kila nikingia hapa najitahidi niikwepe which is karaha sijui wenzangu vipi?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 13, 2007

    kwani hii picha ina nini au makeke tu...Kama hutaki kuona basi usiangalie....

    tuione watu waelezwe ni nini hii na ni kwanini inakuja kama upepo hivi....?

    we want to know how to prevent

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 13, 2007

    Duuh! Je huyu ni mtoto wa Idd Amin?!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 13, 2007

    Jamani pole sana kaka.
    Huyu atakuwa Francis Mushi mwenyekiti wa harusi za daily news tuu

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 13, 2007

    Jamani kama mtu hauna cha kusema sio lazima Uongee! tazama huyo anonymous 9:27:00 Sio lazima uongee hizo pumba zako Akiwa francis Mushi wewe kinakuuma nini? Mkome kabisa Mume wangu

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 14, 2007

    Samahani wadau..wengine tunarudi dar next week, HOW do we prevent ourselves from catching this??HELP!!!Hatutaki kuunguza likizo

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 14, 2007

    Weeeh Anonymous wa June 13, 2007.3:48.00 pm EAT, hapo juu wacha kujishauwa !!!! Huyo Mushi unayemsema wala sio mume wako kwani mke wake tunayemjua hana TABIA ya kuandika kwenye mitandano kama hii !!!! Labda ungesema wewe ni MALAYA WAKE WA ZAMANI tungekuelewa ! Acha hizo kwani ungekuwa mke wako usingediliki kusema hify. Naakukanya usirudie tena !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...