Home
Unlabelled
akon
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AKON NAE BABAYAKE MSWALIHINA KICHIZI
ReplyDeletemambo ya Trinidad hayo, hiyo kitu imeshaiva na inalika kabisa
ReplyDeleteMmmmmh Michuzi aibu sasa,hii kesi iliisha kama mwezi na nusu,lakini jamaa alijua binti yuko above 18 otherwise asingeweza kuingia kwenye concert,lakini kwa sasa jamaa ana kesi ingine tena..naona hela inalevya sasa
ReplyDeleteMr. Michuzi kwa ufahamu wangu hapo inaonyesha Akon alikua anafanya show ndani ya Trinidad kutokana na hiyo bendera nyuma ya stand.
ReplyDeletehiyo dance mmemcost jamaa...Verison wameacha kumsponsa
ReplyDeletemichuzi umechelewa, haya mambo mbona siku nyingi.....
ReplyDeleteBrother michuzi mbona umechelewa? Kwa taarifa rasmi ni kuwa Bwana huyu ni Muislam aliyeowa wake 4 lakini kuna mwanamke mwingine kamtia mimba na anakaribia kujifungua, NJE YA NDOA...na video ya huyo Mwanamke hapo juuu hii hapa
ReplyDeletehttp://burudani.wordpress.com/2007/04/26/burudani/
hiyo bendera ni ya trindad and tobago kwa kina dwight yorke sasa sijui ni huko kweli au ni marekani maana marekani kumbi za starehe za watu kutoka nchi mbalimbali hupenda kuweka bendera za mataifa yao, hata sisi wabongo tumeweka bendera yetu pale kwenye klabu ya wakenya georgia avenue washington dc.
ReplyDeleteMichuzi unatuweka njia panda
ReplyDeleteHii ilikuwa Trinidad and Tobago. Video yake iliondolewa toka YOUTUBE miezi kadhaa iliyopita mara tu baada ya kupostiwa. Sasa kuna picha tu
ReplyDeleteHAPA PICHA1
HAPA PICHA2
Mmesikia pia kuwa George Bush aliibiwa saa alipokuwa anawave mikono kwa wa albania, ni kama bongo vile, bonyeza hapa, angalia mwanzoni Bush ana saa mkono wa kushoto, baada ya kushake mikono na wahuni, saa hana tena! Ni kama bongo vile.
Bofya HAPA BUSH KAIBIWA SAA ALBANIA
MJOMBA MANENO YAKO HAPO JUU YAWEZA KUWA SAHIHI AU HAPANA. LAKINI NI KWELI SAA YAKE YENYE MKANDA MWEUSI IMEYEYUKA.
ReplyDeleteHUENDA IKAWA AMEIBIWA AU AMEDONDOSHA KATIKA HARAKATI ZA KUTAKA KUSALIMIANA NA WASHABIKI WAKE.
AMINI USIMAMINI, HAWA WAKOSOVO WANAMUONA BUSH KAMA MUNGU MTU. NA SASA NIMEAMINI KWELI MTWANA NI MTWANA TU.
KAMA KWELI AMEIBIWA SAA YAKE, SAWASAWA NA HUYO HUYO KIBAKA ATAKUWA AMELAMBA DUME KWANI BEI YA HIYO SAA, ANAJUA SONARA.
GRACIAS.
Hapana anayefagiliwa Kosovo ni Clinton kwa sababu ya vita vya Kosovo 1998-99 siyo Bush, maana Bush amekuwa indifferent kuhusu swala la uhuru wa Wa-albania....Just saying....
ReplyDeleteHuyu jamaa aliyevaa fulana nyekundu na sarawili ya jinzi anafanana sana na Bro K - Singo
ReplyDeleteNaoma kuwasilisha!
Akon ametoa wimbo wa kuomba 'radhi' kiaina aina kwenye site yake ya myspace, ingawaje anashutumu kila muhusika, jamaa kwa kweli ni 'msanii' check him out kwenye myspace page yake!
ReplyDeleteMichusi tafadhali please take this picture off the blog. I look at your site when i'm in an open plan office and when I'm scrolling I really have to rush past this picture coz its just not nice!!!
ReplyDelete