kinaonekana kama maziwa lakini ni kinywaji toka sauzi kiitwacho amarula kitokancho na matunda ya mti wenye jina hilo. nasikia tembo hupenda sana kula matunda hayo na matingaz yakikolea huwa kijijini hapalalaliki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2007

    Huyu mbona kama Nora wa ktk maigizo ya tv?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2007

    Hii bwana lazima huyo dada awe na mzee karibu, siri ya Amarula ni kwamba ikikolea inashuka chini sasa hapo ndio shughuli inapokuwa ngoma ya mchezo inapokolea.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2007

    Michu, mwambie huyo dada apunguze mkorogo!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2007

    hiki kinyaji kingekua kinapatikana ukerewe ningefaidi kama huyo dada anavyofaidi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2007

    duh Michuzi we hatari,
    mie nilijua picha za nora una zile za mwanzo kumbea hata wakati anaanza kunywa unazo?
    halafu kumbe alikunywa amarula duh ndio maana...duh maskini Nora

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2007

    Inashuka chini wapi???? Kwenye miguu kwasababu najua binadamu akizungumzia chini anamaanisha miguuni, mbona unatuchanganya???

    ReplyDelete
  7. Anoni wa June 18, 2007 10:40:00 AM EAT, umenichekesha sana, teh teh teh teh teh teh!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2007

    ivi ni xwife wa Dr. eti?? nakuunga mkono kwa hayo meno ila kajikoboa ule uzuri ulomchanganya Bico wote haupo tena. afu Bico ndo ameanza ndo handisam........

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2007

    Jamani huyu sio nora nyie! Huyu dada kama namfaham, huyu sio Zai kweli!!
    Nora hana mwanya mkubwa ka uchochoro, Nora ni mwembamba huyu dada kajazia, mimi namjua ni Tax Consultant kwenye kampuni flani flani! Kaka Michu we kiboko! Kifaa umekitoa wapi hiki? Mimi nadhani ni yeye kabisa, Prove me wrong michuzi!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2007

    G umenipa picha halisi, nami nimemkumbuka huyu dada baada ya wewe kusema. Nadhani atakuwa ni Zai niliesoma nae Kenya! Nae alikua hivi hivi! eti kaka ni nani huyu?Ila si Nora jama!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2007

    G umenipa picha halisi, nami nimemkumbuka huyu dada baada ya wewe kusema. Nadhani atakuwa ni Zai niliesoma nae Kenya! Nae alikua hivi hivi! eti kaka ni nani huyu?Ila si Nora jama!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2007

    Hayo mashavu yamejaa utadhani ana safura

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 18, 2007

    Hayo mashavu yamejaa utadhani anaumwa safura

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 18, 2007

    Jamani watu achane uzushi.. amarula ni kama kinywaji kingine chochote cha aina ya wine. Hakuna cha kwamba ikikolea ina shuka chini wala nini, kila wine ikikolea itashuka tu chini kama una mawazo hayo. Jamani amarula ni kama wine tu zingine! mie ni mnywaji mzuri tu wa amarula.. lakini haina lolote. Kwa mtaji huo Martini Bianco ni kiboko! Jaribuni muone

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 18, 2007

    eee eee nyie watu embu tuelezeni vizuri hiyo amarula ukinywa inashuka mpaka wapi coz mnatutisha watumiaji wengine kina sis tunaokunywa,embu kuweni wawazi kidogo.
    ila weee dada hayo meno kama vichochoro afu umekubali kupigwa picha duuuh haya bwana ila punguza mkorogo huooo just be natural utapendwa tuu hata kama ni mweusi kama paka! sawaaaaaaa,nihayo tuuu!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 18, 2007

    Mshauri aache hicho kijwaji kwa vile meno yanaishia...hau hajaona dntisty in years...???

    nadhani hicho kinyaji hakiendi chini kam aunvyosema..kinaenda kwenye meno... duh!!!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 19, 2007

    hii amarula, nadhani haina tofauti na Irish cream , the taste seems to be the same

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 20, 2007

    If my man buys me that, nitamuonesha kazi!!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 20, 2007

    Anony wa June 19, 2007 10:02:00 AM EAT you are right, Amarula and Irish Cream tastes the same

    ReplyDelete
  20. Nimependa mwanya michuzi,, niunganishe pliz! sijui nimechelewa wapi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...