Home
Unlabelled
amarula
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu mbona kama Nora wa ktk maigizo ya tv?
ReplyDeleteHii bwana lazima huyo dada awe na mzee karibu, siri ya Amarula ni kwamba ikikolea inashuka chini sasa hapo ndio shughuli inapokuwa ngoma ya mchezo inapokolea.
ReplyDeleteMichu, mwambie huyo dada apunguze mkorogo!
ReplyDeletehiki kinyaji kingekua kinapatikana ukerewe ningefaidi kama huyo dada anavyofaidi.
ReplyDeleteduh Michuzi we hatari,
ReplyDeletemie nilijua picha za nora una zile za mwanzo kumbea hata wakati anaanza kunywa unazo?
halafu kumbe alikunywa amarula duh ndio maana...duh maskini Nora
Inashuka chini wapi???? Kwenye miguu kwasababu najua binadamu akizungumzia chini anamaanisha miguuni, mbona unatuchanganya???
ReplyDeleteAnoni wa June 18, 2007 10:40:00 AM EAT, umenichekesha sana, teh teh teh teh teh teh!!!
ReplyDeleteivi ni xwife wa Dr. eti?? nakuunga mkono kwa hayo meno ila kajikoboa ule uzuri ulomchanganya Bico wote haupo tena. afu Bico ndo ameanza ndo handisam........
ReplyDeleteJamani huyu sio nora nyie! Huyu dada kama namfaham, huyu sio Zai kweli!!
ReplyDeleteNora hana mwanya mkubwa ka uchochoro, Nora ni mwembamba huyu dada kajazia, mimi namjua ni Tax Consultant kwenye kampuni flani flani! Kaka Michu we kiboko! Kifaa umekitoa wapi hiki? Mimi nadhani ni yeye kabisa, Prove me wrong michuzi!
G umenipa picha halisi, nami nimemkumbuka huyu dada baada ya wewe kusema. Nadhani atakuwa ni Zai niliesoma nae Kenya! Nae alikua hivi hivi! eti kaka ni nani huyu?Ila si Nora jama!
ReplyDeleteG umenipa picha halisi, nami nimemkumbuka huyu dada baada ya wewe kusema. Nadhani atakuwa ni Zai niliesoma nae Kenya! Nae alikua hivi hivi! eti kaka ni nani huyu?Ila si Nora jama!
ReplyDeleteHayo mashavu yamejaa utadhani ana safura
ReplyDeleteHayo mashavu yamejaa utadhani anaumwa safura
ReplyDeleteJamani watu achane uzushi.. amarula ni kama kinywaji kingine chochote cha aina ya wine. Hakuna cha kwamba ikikolea ina shuka chini wala nini, kila wine ikikolea itashuka tu chini kama una mawazo hayo. Jamani amarula ni kama wine tu zingine! mie ni mnywaji mzuri tu wa amarula.. lakini haina lolote. Kwa mtaji huo Martini Bianco ni kiboko! Jaribuni muone
ReplyDeleteeee eee nyie watu embu tuelezeni vizuri hiyo amarula ukinywa inashuka mpaka wapi coz mnatutisha watumiaji wengine kina sis tunaokunywa,embu kuweni wawazi kidogo.
ReplyDeleteila weee dada hayo meno kama vichochoro afu umekubali kupigwa picha duuuh haya bwana ila punguza mkorogo huooo just be natural utapendwa tuu hata kama ni mweusi kama paka! sawaaaaaaa,nihayo tuuu!
Mshauri aache hicho kijwaji kwa vile meno yanaishia...hau hajaona dntisty in years...???
ReplyDeletenadhani hicho kinyaji hakiendi chini kam aunvyosema..kinaenda kwenye meno... duh!!!!
hii amarula, nadhani haina tofauti na Irish cream , the taste seems to be the same
ReplyDeleteIf my man buys me that, nitamuonesha kazi!!!
ReplyDeleteAnony wa June 19, 2007 10:02:00 AM EAT you are right, Amarula and Irish Cream tastes the same
ReplyDeleteNimependa mwanya michuzi,, niunganishe pliz! sijui nimechelewa wapi!
ReplyDelete