Home
Unlabelled
balozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo anafurahi kupata ulaji ila moyoni anajuliza sijui itkuwaje BEMBA akicharuka na vijana wake
ReplyDeleteJamani JK huwaoni vijana???
ReplyDeleteMbona sisi ndiyo tulikuchagua? Seriously nisipo ona mabadiliko kuteua vijana nitafanya media compaign ya kufa mtu 2010. Nitatumia internent maana ndo ntawapata vijana wengi wasomi. Najua utapita lakini kwa mbinde rafki yangu.
Embu tujiulize, mpaka Mbunge anaongezewa ukuu wa mkoa siyo RUSHWA ya madaraka hiyo kweli?? Yako ngumu JK.
huyu jamaa ni mfanyakazi hakuna tena ...hongera gordon ngilangwa na hongera JK ...bemba akicharuka we tulia tu ...si kazi ya wazalendo jamani
ReplyDeleteMheshimiwa Ngilangwa,
ReplyDeleteHongera kutoka Ottawa. Wana Ottawa tunakupongeza kwa kuchaguliwa kuwa balozi. Tunaokujua, tunafahamu jinsi gapi ulivyokuwa mchapakazi. We really miss you guys (Mheshimiwa Membe, Mama Mulamula, na Balozi Mbaga).. Ilikuwa timu nzuri sana hapa Ottawa.
Asante
Toka hapa. Hakuna cha kuchapa kazi wala nini hapa. Naungana na mtu mmoja hapo juu kwamba hivi hamna watu wengine hasa vijana mpaka hawa watu wanakuwa walewale tu miaka nenda miaka rudi wanatalii tu anatoka huku anahamishiwa kule, akitoka kule anahamishiwa hapa. Vandumweeh!
ReplyDeleteWapo watu wengi tu wenye uwezo na wanaoweza kuchapa kazi vilevile tena si ajabu kushinda hao. Vijana wasomi wa siku hizi wanafundishwa masuala ya Intaprenyuaship mashuleni kwa hiyo wanaweza kufanya vizuri tu.
Hebu wapeni nafasi jamani. Mweeh!
It is hight time nafasi wapewe vijana! Na nie vijana mkimaliza masoma mrudi home, mnapozidi kukaa nje mna waachia wazee nafasi. Rudini kwa wingi pamoja na waliobaki home u should be a bit aggressive nina maana when u come back u should be creative, support each other, intergrate in all sectors,work hard show u r capable "it can be donne play ur party" (Nyerere).
ReplyDelete