kama hujamuona ama kumsikia msanii marlaw akighani kibao chake cha 'bembeleza' ujue umepitwa. yeye na ali kiba ndo wanaotamba hivi sasa bongo kwa vibao vyao vikali sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2007

    good stuff

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    Obama girl the whole video Barely political

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    michuzi #01 kama kawaida taka msitake. asante michuzi kwa kunipa nafasi ya kuwaeleza ukweli hawa wadau wa atl.org let me tell u one thing ur blog is boaring why?????? kwa sababu u guy's are behind on some other stuff couse u'r not ready!!!!yet wachovu wote atl.org kuchangiwa nauli ya KLM sii kitu naomba mkumbuke mlikotoka wazazi wenu wamekopa sanaaaaaaaaaaaaa na bado wanadiwa na nyie mbwa hamuwezi hata kulipa madeni pambafu( i do no swahili and not kiswahili wehu nyie) any how naomba tukutane the land of truth bongo!! je mtalalala kwa wazazi ama guest au mna nyumba mmejenga??? HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH rent kwa mbwa kama nyie ni $3500/ EU 2400 tuta jua when K-mass ikifika nyie ni kama nyoka tuu wa mbuguni (i'm sorry michuzi blog) but i have to let this kid's no! HP wa TX wote wako wapi wachovu nyie mnafikiri mko wapi kwa macheni shenzi nyie tulieni au tutawapa safari bongo wote na sijui mta fanya nini mkifika bongo michuzi camera anazo DUUUUUUUUUUUUUUU!!! bongo hakuna hodi za wa wazee (nursing home's) i got one under constraction some where in Bongo land not in DAR ES SALAAm so save u"r 401K if u have any!!!!! wehu nyie heshimuni mlikotoka wengingine choo cha kutumia maji mmevikuta huko mliko!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2007

    Huyu dogo ni nomaaaaa! Nilitafuta sana CD yake. Ule wimbo there is no way unaweza kuchuja. Ukiupiga kwenye gari usiku, speaker zimetulia, usipime Michuzi: OC' - Sinza.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2007

    "wanaotamba", hapo angalia Michuzi, vowels ni a na o, na inabidi uzipange kama ulivyofanya, ukikosea tu, watu wanaoleta watoto kwa blog yako wataosha midomo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2007

    Hivi wanaimba au play back, kama kawaida ya wasanii wa bongo? time to wake up and get real!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2007

    jamani eh,kulikoni tena huyu mdau wa 11:35:00?kagombana na nani?na hao atl.org ni kina nani? michuzi tufafanulie maana wewe ndo moderator wa hii blog bab k.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2007

    Nadhani 11.35 anahitaji kwenda kwenye ward ya vichaa....Sasa kama unajenga nursing home si ufurahie biashara yako itapata watu wengi..Kama watu wakirudi bongo kama hawajajenga basi tena.... Na hizo loan...nani kakwambia watu wanachukua loans bongo....????? Hela ya madafu utaipeleka wapi zaidi ya ticket ya ndege....Madafu hayaruki bahari...Na yakiruka ni lunch money tu hiyo...you know what ....I have no time to educate you ...it seems you have no knowledge of the other world.....Kujua 401K isiwe tatizo we kalia kusoma vitu kwenye internet wakati wenzako wanapiga double.....Hivi nyi bongo mbona mnahasira hivyo....
    Inaelekea ni strss za mambo yenu hayaendi vizuri mnakalia kusema wengine...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2007

    Anoy 11.35
    Mtu aliyemaliza O level akazamia majuu anamaisha mazuri sana kuliko the same person anayeishi Dar.

    Wewe unazungumzia wachache matajiri wa hapa Dar na ambao majority ni wahamiaji...Afadhali aliyezamia huko akirudi ataishi kwa wazazi akiwa na miaka 70 hao tunaowaona kila siku wako kwa baba na mama toka wamezaliwa mpaka sasa hivi...ni wangapi wanafanya kazi hapa Dar na wanaishi kwa wazazi mpaka leo....wengine wameoa na kuoa lakini bado wako kwa baba na mama....sasa mbona huwaoni hao unasema watu ambao wamekwenda tafuta maisha..

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2007

    Jamani muwaache watoto wetu...tuliowapeleka ni sisi wenyewe. Wewe kama tumekopa kina kuhusu nini? Afadhali mmoja wangu yuko huko....Huyu mwingine yupo tu hapa nyumbani mpaka leo. Sina tu hela hata huyu ningempeleka kwa vile shule kamaliza na kazi yake hata miaka 10 ijayo hata weza kuhama hapa nyumbani.

    Wakirudi wazee tutawapokea kwa mikono miwili

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2007

    Asante sana anon wa 8:33 na mi nlitaka kusema hivyo hivyo, huyu anon wa 11:35 ana hasira na maisha yake machovu kaamua kuzitolea hasira zake hapa, eti ooh najenga nursing home, ohh wazazi wenu walikopa so what, from the way anavyosound ni kama analikorosho kooni ngoja limkabe afe ohoo!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 16, 2007

    .....yaleyalee! watu hawaelewi, maisha popote, na maisha unayoishi leo ndo maisha yako. kama mtu yupo nje ya bongo na anadhani anaishi maisha bora kuliko nyumbani ni heri kwake. wewe kama unashida leo hayo ndo maisha yako, hauna sababu ya kufikiria wenzako watakaporudi watakuwa na nini? kwani wewe una nini ????? ... kama Mzazi alivvyosema hapo juu, watu wanaishi na wazazi wao mpaka leo, heri huyu anaye afford rent yake hapa, na may be kutuma vijesenti home.
    WATU MNAHATE MNOOOO, KAMA MAMBO YAKO POA KWA NINI UNATUMIA MUDA MWINGI KUFIKIRIA WALIONJE ????
    INA KERA, MI NINA BINAMU YANGU, NASIKIA KILA SIKU ANAUA MIMI KUJA USA, UKIULIZA YEYE AU NDUGU WENGINE WANANINI TOKA NILIPOONDOKA HAKUNA ZAIDI YA KUOMBA HELA ZA HAPA NA PALE.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 16, 2007

    anon wa 5:38AM asante sana kwa kutufafanulia, life is what you leave right now, hakuna cha akirudi itakuwaje, kwani kama yuko happy hapo alipo inakuudhi nini, nimeshawashtukizia wtz washamba fulani walio na wivu, wamenyimwa visa za kuja huku wanaanza ooh wabeba maboksi, nyie mbona mnabeba cement hatusemi, mbona vilio kila siku ooh nitafutie na mimi nafasi nije huko!! punda milia nyie, tuna raha huku tuliko, na kama tuna future plans hayo hayawahusu, kazi yenu kutupangia tu maisha yetu, ooh, mbona hivi mbona vile, kama wazazi wangu wana amani, na mimi nina amani mbona nyie nyodo nyingi, farasi nyie!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 16, 2007

    anon wa 1135 kachanganyikiwa, muacheni aendelee na mambo ya zilipendwa.

    ReplyDelete
  15. Yameisha! kila mtu pale alipo ana magumu na mazuri yake. Huyo anon msameheni tu inaelekea ana tatizo fulani hajui aanzie wapi!?

    When u r young and the future seems to be in darkness you are somehow lost! kuliko kumjibu ni kheri kunyamaza tu.

    You folks sometimes should pray for each other instead. In this era full of all sorts of hardship,one looses inner peace that leads to instability...etc and that explains all those comments full of hatrage, anger and sometimes jelousness not towards someone in particular but against the whole system.

    Mungu ibariki tanzania na hasa watu wake

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 19, 2007

    WARIDI the truth has to be told. I am 100% supporter of all who took their time and have a say their person feelings and opinions toward the person who look as if is frustrate with his/her own life.

    Make your life worth living as your living and anywhere you can make that possible. It doesn’t have to be the place where you were born. Those mouth washers need to keep quite. We are sick and tired of it. We will not just sit down and let them use their aggravation on us as we are trying hard to make something out of our lives. We are trying so much to make our lives worth living and we would appreciate if they care so much and would like to give us advices should do that in a good manner.

    The world is universal and migration is the way of life. How many people living in the country who are naturalized citizen? Does anyone care about them? We have so many Asians, Europeans, Australians, American, North, South, West and Central African people live in other country. Do their own people condemn them for not make the living in their hometown?

    It hurts us so much when we all the time we stumble some stupid hatrage and negative comments. God knows what they have in their mind? VOODOO or wishing us bad luck all the time?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...