mwenyekiti wa kamati ya saidia staaz ishinde na mnbunge wa singida mh. mohamed dewji akifurahia leo baada ya kurejea toka bukina faso

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2007

    hapo Kampuni yake lazima ikwepe kodi,na serikali watatoa macho tu,maana kwanza ni mbunge,pili ndo mwenyekiti wa kamati ya staz ishinde,na imeshinda ;patamu hapo?
    Kamtu-Chui/Paris

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2007

    hebu jamani wabongo tuache fitina,
    watu wanasema ooh eti msisherehekee Ghana bado...well japo ni kweli lakini pia tukumbuke kuwapa moyo staz ni muhimu, jifunzeni kwa haohao waghana! who remembers last year world cup? japo walijua nafasi ya kwenda robo fainali finyu, bado walisherehekea! why not? besides how many times does our team do well? come on...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2007

    Je, huyo polisi kweli yuko tayari kuzuia zali za mashabiki? duuh, mbona kitambi kimeshamiri!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2007

    Mheshimiwa Issa WASHABIKI NI WENGI TIMU YALETA FURAHA MACHONI MWA WATANZANIA HONGERENI SANA WAHUSIKA..HUYU MBUNGE NAONA ANAJITAHIDI SAAANA MAMBO INATIA MOYO.."..RUKSA.."..HIVI KASI YA MADAWA YA KULEVYA IS IT HAI OR LOO.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2007

    Mheshimiwa Issa..VIPI MZEE..NI FURAHA TUPU I HOPE ISIYO NA KIFANI ..TUNASHUKURU SANA.."..MHESHIMIWA GOZ GEY.."

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2007

    Dewji is going to get far..i wish more tanzanians of asian decent with money would come out and go mainstream, we will be far in all sports kama wahindi wa upanga wangekuwa wanajimix, lead the way mo..lazma awe minister baadaye macho yangu

    To the Tanzanians of asian decent. Wote waTanzania, wengine hadi mababu zenu wamezaliwa bongo..msiogope kuwa public..Invest that some of that money in Tanzanian business and sports..Maoni tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...