Home
Unlabelled
mo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo Kampuni yake lazima ikwepe kodi,na serikali watatoa macho tu,maana kwanza ni mbunge,pili ndo mwenyekiti wa kamati ya staz ishinde,na imeshinda ;patamu hapo?
ReplyDeleteKamtu-Chui/Paris
hebu jamani wabongo tuache fitina,
ReplyDeletewatu wanasema ooh eti msisherehekee Ghana bado...well japo ni kweli lakini pia tukumbuke kuwapa moyo staz ni muhimu, jifunzeni kwa haohao waghana! who remembers last year world cup? japo walijua nafasi ya kwenda robo fainali finyu, bado walisherehekea! why not? besides how many times does our team do well? come on...
Je, huyo polisi kweli yuko tayari kuzuia zali za mashabiki? duuh, mbona kitambi kimeshamiri!!
ReplyDeleteMheshimiwa Issa WASHABIKI NI WENGI TIMU YALETA FURAHA MACHONI MWA WATANZANIA HONGERENI SANA WAHUSIKA..HUYU MBUNGE NAONA ANAJITAHIDI SAAANA MAMBO INATIA MOYO.."..RUKSA.."..HIVI KASI YA MADAWA YA KULEVYA IS IT HAI OR LOO.
ReplyDeleteMheshimiwa Issa..VIPI MZEE..NI FURAHA TUPU I HOPE ISIYO NA KIFANI ..TUNASHUKURU SANA.."..MHESHIMIWA GOZ GEY.."
ReplyDeleteDewji is going to get far..i wish more tanzanians of asian decent with money would come out and go mainstream, we will be far in all sports kama wahindi wa upanga wangekuwa wanajimix, lead the way mo..lazma awe minister baadaye macho yangu
ReplyDeleteTo the Tanzanians of asian decent. Wote waTanzania, wengine hadi mababu zenu wamezaliwa bongo..msiogope kuwa public..Invest that some of that money in Tanzanian business and sports..Maoni tuu