hassan, mtoto wa hayati tx moshi william akiwa na miss world africa 2005 nancy sumary baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya bendi ya msondo ngoma majuzi. mambo haya na mengi mengine yanapatikana katika tovuti mpya ya http://bongocelebrity.com/ ambayo itakupa picha na habari kama hizo za masupa staa wa bongo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2007

    Heee Mithupu mbona huyu mtoto anaonekana kama kakanyaga miwaya??? Shehe hili

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2007

    mr michuzi naomba utupe maoni yaliyochukuliwana ya wanchi kuhusu jumuia ya frika mashariki maana mimi binafsi siupenndi wala sitaki.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2007

    Lakini kweli jamani. Huyo Nancy mbona anaonekana kama AMEPAUKA flani hivi! Kulikoni? Mweeh!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2007

    Too much make up,sometimes simple or natural look unapendeza kuliko iyo mi make up ambayo inakufilisi au kukupa magonjwa siku za uzeeni,tafuta mshauri mwingine wa uzuri dada.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2007

    jamani huyu dada ni mzuri ila sijui mie ni mshamba maana hiyo make up anaikandamiza sana jamani anakuwa kama maiti vile,naomba wanaomshauri waliangalie hilo maana mh

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2007

    Nashindwa kuelewa kwanini hawa star wa bongo wana vaa hiyo Pass shingoni, hata wakati wa awards zenywe?, nimeona karibu wote wana panda kwa stage huku hiyo pass ikininginia shingoni, navyojua hizo pass ni pale wanao kua wana any mazoezi kabla ya show, ili waweze kujulikana kuwa ni wasanii na wana ruhusiwa kuwepo kwenye venue kabla y show.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2007

    Mhh, naungana na annon number one hapo juu. Mbona huyo mtoto kakongoroka hivyo! Hujakosea kuchukua hiyo picha na kumweka mtu mwingine badala ya Nancy!! This is not SUMARI we know!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 12, 2007

    WAJAMENI MBONA HUYU NANCY ANABADILIKA? SI MZURI WA KUVUTIA KAMA MWANZONI, AU NI PICHA TU HII? LAKINI HATA KUNA PICHA KABLA YA HII TUMEONA HIVI HIVI, KAMA NI MKOROGO UNATUMIA DADA HAUKUFAI BAKI NATURAL, NA TOO MUCH MAKE-UP SIYO POA VILEVILE.
    SAMAHANI IMEBIDI NIZOZE, KAMA KAWAIDA KWENYE MTANDAO WA MICHUZI WATU WAINGIA KUMWAGA UKWELI, NA SIO KWA UBAYA. HIVYO NAOMBA USINIELEWE VIBAYA DADA. ULIKUWA UKIPENDEZA SANA NA RANGI YAKO NATURAL YA BROWN-BLACK.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 12, 2007

    Jamani mbona Nancy katokea vibaya hivi. Nakumbuka Michuzi uliwahi kuweka picha yake na kuna mtu ali-comment kuwa anabichwa baya wala si mzuri...mmh yaani hapa ndio nafikiri mara mbili huyu mtu ni picha tu au kuna ukweli juu ya hili.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 12, 2007

    Duuh! i feel sory for nancy,is she the one?aiwezekani kachoka namna hii jamani

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 12, 2007

    mbona mbaya sasa!!?kwani vigezo nini!!?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 12, 2007

    Teh Teh Teh, she looks the same. The only conflict, if I may, is that some of you my friends eyes "are" now getting too used to see our other bird, the Matata girl from the last Miss World trip. The two (Nancy Sumari and Flaviana Matata) are way different in their skin texture, hair style and yes.....that Matata girl gotta a matata smile.... They are all good-looking totos from Bongo, proud of Africa..Teh Teh Teh

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 12, 2007

    It sure is...demu amebadilika, amekuwa kama mwanasesere. Take care of yourself baby, you are beatiful.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 12, 2007

    Amechoka mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa si mchezo kila mtu anasema du

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 12, 2007

    Duh kusema ukweli huyu demu kakongoroka yaani anaonekana kama bibi kizee fulani ambaye ni kibogoyo. Na hizi make-ups zao za uswahilini nazo zinaharibu ngozi zao nzuri na laini

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 13, 2007

    UJUE WATANZANIA WENI BADO TUNAAMINI WEUPE NDIO UZURI. SASA HUYU DADA YETU KAENDA KUCHIJUBUA KAWA KAMA PAPAI HALAFU KAENDA KUJIKONDESHA BASI AMEKUWA KAMA AMEANIKWA. SASA DADA YANGU WEMBAMBA SIO KILA MTU UNAMPENDEZA, YOU HAVE TO FOLLO YOUR BONE STRUCTURE, NA WEWE HAUKUPENDEZI KABISA. NA HIYO MI MAKE UP CHEAP AU MAKE UP AMBAZO HAZIENDANI NA YOUR FAKE SKIN COLOR SI NZURI KABISA.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 13, 2007

    Suluhisho hapa ni simple...all she needs to do is work on on her hair.The hair style did not do her justice.
    She has very thin and scarce natural hair and people are used to seeing her with hair extensions. Otherwise she is a young and beautiful woman.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 13, 2007

    HEBU TOKA HAPA WEWE ANONY ULIOANZA MAONI YAKO NA Teh Teh Teh....
    Kama anakuhusu ndio unaandika maoni ya kufagilia bila ya kumshauri mtu UKWELI. mpuuzi sana wewe.
    UNAONA MAONI MENGI HAPA WATU AMBAO WALA HAWAFAHAMIANI wote wametoa maoni yanayofanana na kukubaliana KUWA HUYU BINTI HAYUKO KAMA MWANZONI.
    TOO MUCH MAKE UP APUNGUZE NA ATAFUTE KAMA ALIVYOSEMA MUUNGWANA MMOJA HAPO JUU, ATAFUTE MSHAURI WA UREMBO MPYA, HATA MAKE UP ARTIST, Ni wazi huyu mshauri wake wa sasa IF SHE HAS GOT ONE. Hafai.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 13, 2007

    michuzi toa comment yangu tafadhali usiibane. tafadhali michuzi tafadhali. not joking, sirias sio vizuri hii tabia naona haina dawa eeh

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 13, 2007

    Ha ha haaa, the problem here is the hair style and makeup she wore. My advice to you Miss Tz 2005 go with that hair style no more and reduce the make-ups, too much of it made you look like a dolly/catoon.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 13, 2007

    Nancy mpendwa yaani wakati unashinda ms Tz ulikuwa na rangi nzuri sana. Kwa nini umeanza kujichubua? Ulikuwa mzuri sana vile ulivyokuwa. Halafu sura yako ni nzuri haihitaji make up nyingi, just simple make up tu basi. Kwa kweli go back annd luk at your self when u were crowned Ms World Africa. I like u that way. Ni huo tu ushauri wangu dada. You are beautiful u dont need make up nyingi

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 13, 2007

    duuuu kumbe siyeeeeee!!!huo mkorogo hutuelezi kitu unajitia aibu umekaa kama kifaranga,rudia rangi yako ya kawaida,huo weupe wazungu wenyewe wanauchukia wanajianika juani wawe kama sisi.SHTUKA KEEP YOUR HEAD UP.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 13, 2007

    HMM! how quickly you have all turned on your beloved Miss World Africa after she did such a good job representing Tanzania, now one fashion mistake and bright stage lighting and suddenly hafai!
    Its hard being a celebrity huh!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 13, 2007

    Uyu dada kumbe si mzuri na kumbe hana nywele jamani tusiyabandike sana manywele ya watu walio kufa kumb nancy si mzuri kiivyo mungu wangu.Bora faviana matata.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 14, 2007

    Kweli Nancy, hata kwa bure sikutaki yaani umechoka, unaonekana bonge la kituko, jaribu kutafuta washauri wakati unajipodoa na siyo kupaka poda nyeupe usoni na hilo li-lipstick lekundu mdomoni, kisha kutoka kwenye kadamnasi.unatakiwa kujua kuwa umebeba bendera ya watanzania na ndiyo maana unatupa moto sana... Tunamtaka yule Nancy wetu Miss world(Africa) na siyo huyu kituko anayejitaidi kutaka kutuonyesha maajabu ya mzee Rajabu...

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 14, 2007

    Du... Nancy huo mtindo wako wa nywele namaanisha hilo PANK lako limeniwacha hoi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...