
hassan, mtoto wa hayati tx moshi william akiwa na miss world africa 2005 nancy sumary baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya bendi ya msondo ngoma majuzi. mambo haya na mengi mengine yanapatikana katika tovuti mpya ya http://bongocelebrity.com/ ambayo itakupa picha na habari kama hizo za masupa staa wa bongo...
Heee Mithupu mbona huyu mtoto anaonekana kama kakanyaga miwaya??? Shehe hili
ReplyDeletemr michuzi naomba utupe maoni yaliyochukuliwana ya wanchi kuhusu jumuia ya frika mashariki maana mimi binafsi siupenndi wala sitaki.
ReplyDeleteLakini kweli jamani. Huyo Nancy mbona anaonekana kama AMEPAUKA flani hivi! Kulikoni? Mweeh!
ReplyDeleteToo much make up,sometimes simple or natural look unapendeza kuliko iyo mi make up ambayo inakufilisi au kukupa magonjwa siku za uzeeni,tafuta mshauri mwingine wa uzuri dada.
ReplyDeletejamani huyu dada ni mzuri ila sijui mie ni mshamba maana hiyo make up anaikandamiza sana jamani anakuwa kama maiti vile,naomba wanaomshauri waliangalie hilo maana mh
ReplyDeleteNashindwa kuelewa kwanini hawa star wa bongo wana vaa hiyo Pass shingoni, hata wakati wa awards zenywe?, nimeona karibu wote wana panda kwa stage huku hiyo pass ikininginia shingoni, navyojua hizo pass ni pale wanao kua wana any mazoezi kabla ya show, ili waweze kujulikana kuwa ni wasanii na wana ruhusiwa kuwepo kwenye venue kabla y show.
ReplyDeleteMhh, naungana na annon number one hapo juu. Mbona huyo mtoto kakongoroka hivyo! Hujakosea kuchukua hiyo picha na kumweka mtu mwingine badala ya Nancy!! This is not SUMARI we know!
ReplyDeleteWAJAMENI MBONA HUYU NANCY ANABADILIKA? SI MZURI WA KUVUTIA KAMA MWANZONI, AU NI PICHA TU HII? LAKINI HATA KUNA PICHA KABLA YA HII TUMEONA HIVI HIVI, KAMA NI MKOROGO UNATUMIA DADA HAUKUFAI BAKI NATURAL, NA TOO MUCH MAKE-UP SIYO POA VILEVILE.
ReplyDeleteSAMAHANI IMEBIDI NIZOZE, KAMA KAWAIDA KWENYE MTANDAO WA MICHUZI WATU WAINGIA KUMWAGA UKWELI, NA SIO KWA UBAYA. HIVYO NAOMBA USINIELEWE VIBAYA DADA. ULIKUWA UKIPENDEZA SANA NA RANGI YAKO NATURAL YA BROWN-BLACK.
Jamani mbona Nancy katokea vibaya hivi. Nakumbuka Michuzi uliwahi kuweka picha yake na kuna mtu ali-comment kuwa anabichwa baya wala si mzuri...mmh yaani hapa ndio nafikiri mara mbili huyu mtu ni picha tu au kuna ukweli juu ya hili.
ReplyDeleteDuuh! i feel sory for nancy,is she the one?aiwezekani kachoka namna hii jamani
ReplyDeletembona mbaya sasa!!?kwani vigezo nini!!?
ReplyDeleteTeh Teh Teh, she looks the same. The only conflict, if I may, is that some of you my friends eyes "are" now getting too used to see our other bird, the Matata girl from the last Miss World trip. The two (Nancy Sumari and Flaviana Matata) are way different in their skin texture, hair style and yes.....that Matata girl gotta a matata smile.... They are all good-looking totos from Bongo, proud of Africa..Teh Teh Teh
ReplyDeleteIt sure is...demu amebadilika, amekuwa kama mwanasesere. Take care of yourself baby, you are beatiful.
ReplyDeleteAmechoka mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa si mchezo kila mtu anasema du
ReplyDeleteDuh kusema ukweli huyu demu kakongoroka yaani anaonekana kama bibi kizee fulani ambaye ni kibogoyo. Na hizi make-ups zao za uswahilini nazo zinaharibu ngozi zao nzuri na laini
ReplyDeleteUJUE WATANZANIA WENI BADO TUNAAMINI WEUPE NDIO UZURI. SASA HUYU DADA YETU KAENDA KUCHIJUBUA KAWA KAMA PAPAI HALAFU KAENDA KUJIKONDESHA BASI AMEKUWA KAMA AMEANIKWA. SASA DADA YANGU WEMBAMBA SIO KILA MTU UNAMPENDEZA, YOU HAVE TO FOLLO YOUR BONE STRUCTURE, NA WEWE HAUKUPENDEZI KABISA. NA HIYO MI MAKE UP CHEAP AU MAKE UP AMBAZO HAZIENDANI NA YOUR FAKE SKIN COLOR SI NZURI KABISA.
ReplyDeleteSuluhisho hapa ni simple...all she needs to do is work on on her hair.The hair style did not do her justice.
ReplyDeleteShe has very thin and scarce natural hair and people are used to seeing her with hair extensions. Otherwise she is a young and beautiful woman.
HEBU TOKA HAPA WEWE ANONY ULIOANZA MAONI YAKO NA Teh Teh Teh....
ReplyDeleteKama anakuhusu ndio unaandika maoni ya kufagilia bila ya kumshauri mtu UKWELI. mpuuzi sana wewe.
UNAONA MAONI MENGI HAPA WATU AMBAO WALA HAWAFAHAMIANI wote wametoa maoni yanayofanana na kukubaliana KUWA HUYU BINTI HAYUKO KAMA MWANZONI.
TOO MUCH MAKE UP APUNGUZE NA ATAFUTE KAMA ALIVYOSEMA MUUNGWANA MMOJA HAPO JUU, ATAFUTE MSHAURI WA UREMBO MPYA, HATA MAKE UP ARTIST, Ni wazi huyu mshauri wake wa sasa IF SHE HAS GOT ONE. Hafai.
michuzi toa comment yangu tafadhali usiibane. tafadhali michuzi tafadhali. not joking, sirias sio vizuri hii tabia naona haina dawa eeh
ReplyDeleteHa ha haaa, the problem here is the hair style and makeup she wore. My advice to you Miss Tz 2005 go with that hair style no more and reduce the make-ups, too much of it made you look like a dolly/catoon.
ReplyDeleteNancy mpendwa yaani wakati unashinda ms Tz ulikuwa na rangi nzuri sana. Kwa nini umeanza kujichubua? Ulikuwa mzuri sana vile ulivyokuwa. Halafu sura yako ni nzuri haihitaji make up nyingi, just simple make up tu basi. Kwa kweli go back annd luk at your self when u were crowned Ms World Africa. I like u that way. Ni huo tu ushauri wangu dada. You are beautiful u dont need make up nyingi
ReplyDeleteduuuu kumbe siyeeeeee!!!huo mkorogo hutuelezi kitu unajitia aibu umekaa kama kifaranga,rudia rangi yako ya kawaida,huo weupe wazungu wenyewe wanauchukia wanajianika juani wawe kama sisi.SHTUKA KEEP YOUR HEAD UP.
ReplyDeleteHMM! how quickly you have all turned on your beloved Miss World Africa after she did such a good job representing Tanzania, now one fashion mistake and bright stage lighting and suddenly hafai!
ReplyDeleteIts hard being a celebrity huh!
Uyu dada kumbe si mzuri na kumbe hana nywele jamani tusiyabandike sana manywele ya watu walio kufa kumb nancy si mzuri kiivyo mungu wangu.Bora faviana matata.
ReplyDeleteKweli Nancy, hata kwa bure sikutaki yaani umechoka, unaonekana bonge la kituko, jaribu kutafuta washauri wakati unajipodoa na siyo kupaka poda nyeupe usoni na hilo li-lipstick lekundu mdomoni, kisha kutoka kwenye kadamnasi.unatakiwa kujua kuwa umebeba bendera ya watanzania na ndiyo maana unatupa moto sana... Tunamtaka yule Nancy wetu Miss world(Africa) na siyo huyu kituko anayejitaidi kutaka kutuonyesha maajabu ya mzee Rajabu...
ReplyDeleteDu... Nancy huo mtindo wako wa nywele namaanisha hilo PANK lako limeniwacha hoi
ReplyDelete