breki za madereva wa bongo....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    Mhhh utaniambia tandboy gogo lime kwisha kwa ajili ya breki au ulikuwa umesinzia basi mimi kama bosi ntakununulieni nanga ya automatiki poleni sana wanume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2007

    Napenda magari yasiyokuwa na breki huwa yanafanya foleni iende haraka saa za misongamano maana ukijua nyuma yako kuna gari halina breki linakuja hiyo spidi utakayokimbia Mungu anajua.

    Hata trafiki akikusimamisha husimami sababu unajua ukifunga breki unajua kitakupata hicho kilichoipata hiyo nguzo.Hivyo ni moto juu.

    ReplyDelete
  3. Jamani hili sio lorryy lililosababisha kifo cha kaka yangu katika ajali iliyotokea pale mkwajuni juma lililopita????

    Kwa mtindo huu hili halivumiliki hata kidogo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...