Home
Unlabelled
breki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhhh utaniambia tandboy gogo lime kwisha kwa ajili ya breki au ulikuwa umesinzia basi mimi kama bosi ntakununulieni nanga ya automatiki poleni sana wanume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika.
ReplyDeleteNapenda magari yasiyokuwa na breki huwa yanafanya foleni iende haraka saa za misongamano maana ukijua nyuma yako kuna gari halina breki linakuja hiyo spidi utakayokimbia Mungu anajua.
ReplyDeleteHata trafiki akikusimamisha husimami sababu unajua ukifunga breki unajua kitakupata hicho kilichoipata hiyo nguzo.Hivyo ni moto juu.
Jamani hili sio lorryy lililosababisha kifo cha kaka yangu katika ajali iliyotokea pale mkwajuni juma lililopita????
ReplyDeleteKwa mtindo huu hili halivumiliki hata kidogo!!