Home
Unlabelled
breking nyuuuuuuzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ebo! nasisi tumeshapata hiyo RAV 4 ya macho kwa kumwangalia? du utafikiri kameza bonde la ufa??
ReplyDeleteTrue. Nimemuona dada mmoja hapa kazini kurasini (TIA) jicho yau-yau. Swali hapa 'redai' inaambukizwa vipi na inaepukika vipi? Tusije wote tukawa kama tumivuta 'ribangi' rimoja
ReplyDeleteHawa watani wetu wa jadi wakishaanza kulipuana na uchaguzi kukaribia, sisi wanaturushia Nairobi Red Eyes! Mungiki nini?!!
ReplyDeleteYaani noma sana! Watoto wanalia kila mtaa! Ogopa sana hiyo gonjwa ya watani wetu!
Kwanza pole kakaangu kwaugonjwa huu wa kipindupindu cha macho! tatizo watu wengi hawajagundua unawapata zaidi wale watu wanaopenda kupiga chabo vitu vizito! Kaka Michuzi plz unaambukiza ata kwanjia ya mtandaoni usituwekee vitu hivi tutaogopa kufungua blog yako. Cheers!!
ReplyDeleteHuyu ni binadamu au ndondocha
ReplyDeleteEh MUNGU! Nairobi Red Eyes umerudi!
ReplyDeleteNaweni mikono jamani!
kapime blazaangu dalili hizo !
ReplyDeleteosha mikono kila mara. Na pia sun glasses ni muhimu kwa vumbi liziingie kwenye macho na hiyo vumbi yenye vijidudu lisiingie
ReplyDeleteHiyo myths ya kkusema ukimwangalia unapata ni just urban legend myths
Hivi hili gonjwa halina kinga? Nchi za wenzetu lipo kweli au ndio umasikini wetu kila gonjwa lazima nalo litupate.
ReplyDeleteHuu ugonjwa unaambukiza kwa kumuangalia mngonjwa sasa michu kutuwekea kwenye hii blog, jiandae kwenda mahakamani kwa kusambaza "Narrow Bee-fly"
ReplyDeletemichuzi hivi kuna umuhimu gani wa kuweka hii picha hapa.
ReplyDeletetumeshaiona itoe basi
kila nikingia hapa najitahidi niikwepe which is karaha sijui wenzangu vipi?
kwani hii picha ina nini au makeke tu...Kama hutaki kuona basi usiangalie....
ReplyDeletetuione watu waelezwe ni nini hii na ni kwanini inakuja kama upepo hivi....?
we want to know how to prevent
Duuh! Je huyu ni mtoto wa Idd Amin?!
ReplyDeleteJamani pole sana kaka.
ReplyDeleteHuyu atakuwa Francis Mushi mwenyekiti wa harusi za daily news tuu
Jamani kama mtu hauna cha kusema sio lazima Uongee! tazama huyo anonymous 9:27:00 Sio lazima uongee hizo pumba zako Akiwa francis Mushi wewe kinakuuma nini? Mkome kabisa Mume wangu
ReplyDeleteSamahani wadau..wengine tunarudi dar next week, HOW do we prevent ourselves from catching this??HELP!!!Hatutaki kuunguza likizo
ReplyDeleteWeeeh Anonymous wa June 13, 2007.3:48.00 pm EAT, hapo juu wacha kujishauwa !!!! Huyo Mushi unayemsema wala sio mume wako kwani mke wake tunayemjua hana TABIA ya kuandika kwenye mitandano kama hii !!!! Labda ungesema wewe ni MALAYA WAKE WA ZAMANI tungekuelewa ! Acha hizo kwani ungekuwa mke wako usingediliki kusema hify. Naakukanya usirudie tena !!!
ReplyDelete