bibie paris hilton karudishwa tena lupango. kwa habari zaidi za sasa hivi juu ya hili bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Huyo Paris Hilton ameoza. Maaana anishi kwenye dunia nyingine anaona kama sheria ni kama mchezo. Mwache akome na awe fundisho kwa matajiri wengine.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2007

    Inabidi na dito nae arudishwe rumande au vipi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2007

    Issa rudi nyumbani bwana. Issa wasomaji wako ni sisi Waswahili. Huyu Paris Hilton ni kweli ana vioja lakini tayari kuna blog elfu moja zinazoandika habari zake.

    Issa wewe tuletee mambo ya nyumbani. Tuletee mambo yanayotuhusu zaidi sisi waswahili. Mfano kama Mwisho Mwampamba akienda jela hiyo itakuwa ni habari kubwa kwetu sisi waswahili.

    Au wadau mnasemaje? Mi naona ustaadh Issa anaanza kuelekea kusiko kwenyewe sasa. Paris Hilton kwa ufupi sio ishu kubwa kwa waswahili

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2007

    tuna mambo mengi ya kufuatilia kwetu TZ, haya ya kina Hilton hayatuhusu. Tuletee habari zenye akili, wee michuzi vp bwana!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2007

    Sasa nyie vipi tena.. mnaanza kumpiga mkwara michuzi? Kwanini asiandike nyuuzii za vimwana ambavyo huwa vinapelekesha mputa roho yake?! mmpeni uhuru bwana acha kumgandamiza mtu wa watu asijifurahishe angalau kiduchu tu.. mnataka aandike mambo ya mashimo na mahandaki tu..si itakuwa karaha hii..
    Kama mnataka chomekezeni habari kama huyo anoni aliye andika kuhusu ditopile!! Habari zinaendana na mwaweza weka maoni yenu.
    SteveD.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2007

    Wananchi Marekani walilalamika Paris Hilton akarudishwa jela. Je wananchi wa Tanzania tupo wapi? Ditopile aliua mtu kwa kukusudia in cold blood na matusi juu yake lakini kesi ikageuzwa na kuwa mauaji ya kutokusudia na yupo nje!! Wananchi tupo wapi? Jamani huu usingizi mzito, tukishtuka tukiamka tutakuta tumekwisha wote na wamebaki wenyewe wenye nchi! Haya!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2007

    HAY HAYATUHUSU TUNAMAMBO MENGI YA KUJADILI KULIKO HUYU MWANADADA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 09, 2007

    WEYE ISSA BIN MICHUZI
    acha kuleta zako hapa hawa wazungu kina Paris Hilton wanasaidia ninikatida jamii yetu?
    tulikuomba sana na wadau wengi hapa lete basi za wakwetu hapa wakurugenzi wadau kibao waliomba
    lete hapa picha za PETER RUPIA na totoz wake former BI--NYERERE, (IRENE) lete ya ALBERT MARWA na former BI JAKAYA. wengi tu tumeomba na LIUMBA NA totoz.
    HULETI, AU UMESHINDWA AU NDIO KAMA TULIVYOSIKIA UNAKATIWA POCHI NA HAWA WAKURUGENZI maana hata maoni mengi yanatolewa hapa UNAYAMINYIA, HUYA-POSTI. Noma mshkaji. Fanya fanya basi tuletee hizi picha na pia YA MAGAI na TIA SIMBEI, ANDREW MINJA na NANCY SUMARI, CHALESI MUTAWALI NA totoz ANGELA. naona niishie hapa kwa sasa.
    NA NAOMBA TURUDISHIE ILE JEZI YAKO YA LIVERPOOL MSHKAJI NI POA SANA.
    Kwa kifupi wewe MICHUZI MAKATALOGI BABUKUBWA, maana tunaona hapa kwenye bulogu, SUTI ZAKO UNAZOTILIA SI ZA KAWAIDA, na mara kwa mara upo majuu, mshkaji UNA GREEN CARD YA MAREKANI? ambayo inakuruhusu kuingia nchi zozote? tuambiane bwana maana wewe maji marefu si utani. tunakuzimia.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2007

    Nakuunga mkono anony hapo juu. Tunaitaji vitu va home na sio huku.
    Michuzi hebu rudi nyumbani bwana.Habari za huku tunazo. AU kama umebadilisha muelekeo wa blog yako tufahamishe wadau.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2007

    mmenifurahisha sana anoni wa2 juu, kweli nyie wanaume kamili...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 10, 2007

    Hakuna jaji au muendesha mashtaka mwenyejeuri ya kumrudisha Dito rumande. They are all a.. kissers.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 11, 2007

    Waswahili wanachekesha sana, mara ooh haya hayatuhusu, ooh mara hivi mara vile, kama jambo halikuhusu kaa kimya usijadili, sio unadai hayakuhusu halafu unatoa maoni. Kaa kimya kwenye comments pasomeke 0 (no comments)! Michuzi mwaga mambo, aminia babake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...