Home
Unlabelled
graduesheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwe hawa ni wantanzania kweli, mbona sura ngumu hivyo?
ReplyDeleteJe, hawa ni sungusungu wa ulaya?! SteveD.
ReplyDeleteMmh jamani wanagraduate na bunduki?au wamepata shahada ya upigaji mitutu?Hahaha hii kali
ReplyDeletehizi sura kama janjaweed za sudan,hii si the good old tanzania hata chembeeeeeeeee....
ReplyDeleteHapo Profesa huna ujanja hata kama mwanafunzi kafeli kabisa lazima umpe cheti siku ya graduation vinginevyo.......
ReplyDeleteLazima hapa ni graduation ya Karamojong !!
ReplyDeletekudadadeki....
ReplyDeletehapa hakuna haja ya maelezo. nimeamini kitu kimoja kweli binadamu huwezi kujua kila kitu! na ndiyo hicho kinachofanya watu wagraduate kama hawa washkaji, si wana "profesheni" ambao watu wengine hawana!!!
Hao labda ma-"graduators" wa University of Janjaweed, magna cum laude in Child Soldering
ReplyDeleteKama hii picha inatoka kwa watani wa jadi,hii itakuwa graduation ya MUNGIKI.
ReplyDeleteBraza Misosi nawe wajua kuchemsha !!!!!!!! Yaani watakatwambia HATA KiswaEnglish ina maana hujui ?????? Mweeee ! pamoja na kuwa ni mpwae Jakaya Mrisho Kikwete bado unashindwa kuomba msaada wa kusomeshwa ???? Wewe angalia ndugu zake Anna wakati wa uongozi wa Benny, maanake wote wamesomeshwa hata MAZEZETA kupitia EOTF, sasa wewe raza hizo naniiiiino zako uone kama kuna mtu/jibaba atakuja kukumbuka !!!!!!!!
ReplyDelete