bongo hatujachacha. kila kukicha kuna jipya. safari hii ni magazeti yatolewayo bure mitaani. kama ughaibuni vile....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2007

    Bwana bwana wee.. mambo ya magazeti ya METRO, HERALD,CHRONICLE,CITIZEN.. hayo!! hongera. SteveD.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2007

    Yesu na maria massaweh !!! Lile wazo letu la kama AM NY,EXPRESS(DC) pale DSM tumepata mshindani.
    Temu SAFARI LAGER na KONYAGI ziwapi ?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2007

    Hilo gazeti linatafuta pesa za matangazo tu. Waandaaji wanataka gazeti lao lisambae fasta fasta waanze kulamba pesa za matangazo ya biashara.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2007

    Michuzi... cheki cheki hapo mitaani, unaweza kumbana na "BIG ISSUE" lipige picha nalo likiwa linauzwa Samora Avenue kama uthibitisho.. he he, SteveD.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2007

    mwenyewe nilikuwa nabeba box kwa bidii nije kuanzisha gazeti la namna hiyo,kumbe oohooo!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2007

    Keep it up ZZZZZZZZZZzzz!!it Sis M

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2007

    Michuzi kumbe una laptop? naona touchpad hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...