Home
Unlabelled
bure
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana bwana wee.. mambo ya magazeti ya METRO, HERALD,CHRONICLE,CITIZEN.. hayo!! hongera. SteveD.
ReplyDeleteYesu na maria massaweh !!! Lile wazo letu la kama AM NY,EXPRESS(DC) pale DSM tumepata mshindani.
ReplyDeleteTemu SAFARI LAGER na KONYAGI ziwapi ?
Hilo gazeti linatafuta pesa za matangazo tu. Waandaaji wanataka gazeti lao lisambae fasta fasta waanze kulamba pesa za matangazo ya biashara.
ReplyDeleteMichuzi... cheki cheki hapo mitaani, unaweza kumbana na "BIG ISSUE" lipige picha nalo likiwa linauzwa Samora Avenue kama uthibitisho.. he he, SteveD.
ReplyDeletemwenyewe nilikuwa nabeba box kwa bidii nije kuanzisha gazeti la namna hiyo,kumbe oohooo!
ReplyDeleteKeep it up ZZZZZZZZZZzzz!!it Sis M
ReplyDeleteMichuzi kumbe una laptop? naona touchpad hapo.
ReplyDelete