
wadau angalieni link: http://www.globalbeauties.com/gsr_index.htm na http://www.globalbeauties.com/gsrm.htm muone jinsi flaviana alivyoibeba bongo kwenye chati. pia angalieni hapa muone jinsi miss usa alivyoshikwa koo baada ya kula mweleka stejini siku ile
Flaviana, you go girl! Na kweli ametunyanyua! Kumbe alikuwa na mashabiki wengi sana dunia hii, na watu wanalalamika kuwa Miss USA kasababisha akose nafasi kwenye Top 5! Na huo upara umeweka historia! Mungu akubariki.
ReplyDeleteSomeni hapo:
http://www.starmometer.com/2007/05/21/miss-usa-booed-by-mexicans-during-the-miss-universe-national-costume-competition/
Check this link,
ReplyDeleteTz is now # 7
http://www.globalbeauties.com/gsrm.htm
Miss Tourism Queen International tunampeleka nani...je watapeleka mtu na kama ni hivyo wameshamchagua ....shindano ni mwezi wa nane....
ReplyDeleteMiss Tourism Queen International Tanzania is Sophia Kapama - runner up mmojawapo wa Miss Universe Tanzania 2007 - Flaviana. Go to globalbeauties.com na angalia picha yake! She is cute!
ReplyDelete