wadau angalieni link: http://www.globalbeauties.com/gsr_index.htm na http://www.globalbeauties.com/gsrm.htm muone jinsi flaviana alivyoibeba bongo kwenye chati. pia angalieni hapa muone jinsi miss usa alivyoshikwa koo baada ya kula mweleka stejini siku ile

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Flaviana, you go girl! Na kweli ametunyanyua! Kumbe alikuwa na mashabiki wengi sana dunia hii, na watu wanalalamika kuwa Miss USA kasababisha akose nafasi kwenye Top 5! Na huo upara umeweka historia! Mungu akubariki.

    Someni hapo:

    http://www.starmometer.com/2007/05/21/miss-usa-booed-by-mexicans-during-the-miss-universe-national-costume-competition/

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2007

    Check this link,
    Tz is now # 7

    http://www.globalbeauties.com/gsrm.htm

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2007

    Miss Tourism Queen International tunampeleka nani...je watapeleka mtu na kama ni hivyo wameshamchagua ....shindano ni mwezi wa nane....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2007

    Miss Tourism Queen International Tanzania is Sophia Kapama - runner up mmojawapo wa Miss Universe Tanzania 2007 - Flaviana. Go to globalbeauties.com na angalia picha yake! She is cute!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...