kuna mdau toka kwa watani wetu wa jadi kaniletea hii bila maelezo

zaidi ya kwamba ilikuwa siku ya graduasheni...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2007

    Mwe hawa ni wantanzania kweli, mbona sura ngumu hivyo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2007

    Je, hawa ni sungusungu wa ulaya?! SteveD.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2007

    Mmh jamani wanagraduate na bunduki?au wamepata shahada ya upigaji mitutu?Hahaha hii kali

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2007

    hizi sura kama janjaweed za sudan,hii si the good old tanzania hata chembeeeeeeeee....

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2007

    Hapo Profesa huna ujanja hata kama mwanafunzi kafeli kabisa lazima umpe cheti siku ya graduation vinginevyo.......

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2007

    Lazima hapa ni graduation ya Karamojong !!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2007

    kudadadeki....
    hapa hakuna haja ya maelezo. nimeamini kitu kimoja kweli binadamu huwezi kujua kila kitu! na ndiyo hicho kinachofanya watu wagraduate kama hawa washkaji, si wana "profesheni" ambao watu wengine hawana!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2007

    Hao labda ma-"graduators" wa University of Janjaweed, magna cum laude in Child Soldering

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2007

    Kama hii picha inatoka kwa watani wa jadi,hii itakuwa graduation ya MUNGIKI.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 11, 2007

    Braza Misosi nawe wajua kuchemsha !!!!!!!! Yaani watakatwambia HATA KiswaEnglish ina maana hujui ?????? Mweeee ! pamoja na kuwa ni mpwae Jakaya Mrisho Kikwete bado unashindwa kuomba msaada wa kusomeshwa ???? Wewe angalia ndugu zake Anna wakati wa uongozi wa Benny, maanake wote wamesomeshwa hata MAZEZETA kupitia EOTF, sasa wewe raza hizo naniiiiino zako uone kama kuna mtu/jibaba atakuja kukumbuka !!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...