Hi!
Today is Flavia's birthday she turns 20! All messages and best wishes can be sent to missuniversetz@hotmail.com and will be forwarded to her!

Thanks
Maria



HEPI BETHDEI TU YUU

HEPI BETHDEI TU YUUUUUU

HEPI BETHDEI DIA FLAVIIIIII

HEPI BETHDEI TU YUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2007

    Hilo kombe limetengenezwa na wanaume, wanaume wana tabia waki desgn kitu lazima kiwe na shape ya ninii yao, kasoro wameongeza mkia wa tausi juu ya kichwa chake.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2007

    kuna watu bado wanafungua akaunti za HOTMAIL?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2007

    "The more you praise and celebrate your life, the more there is in life to celebrate".

    Many people realize their hearts' desires late in life. Continue learning, never stop striving and keep your curiosity sharp, and you will never become too old to appreciate life.


    HAPPY BIRTHDAY and ENJOY YOUR BIG DAY



    Nadhani wameshakununilia hata kalaptop basi utaweza kusoma mwenyewe huku kwenye Michuzi blog our wishes....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2007

    mmmh hii pose sijaisajili jamani katika kufuliwa huyu hakufundishwa jinsi ya kupose, hapo utafikiri amebeba sinia la vitumbua anauza kwenye kituo cha mabasi tena pale mombo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2007

    Miaka 20! mkubwa sasa, hakikisha hutetereki katika masuala uliyojipangia kuyafanya na mungu atakusaidia....Happy birthday to you.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2007

    Maria, haste haste. Naona karibu unaanza ku-override suala la Flaviana. Kumbuka kila ngoma na tamati yake.

    Mgema akisifiwa ..........

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2007

    Happy Birthday Flaviana!!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2007

    Happy birthday lakini what is your futurre plan...Ukishapigwa hiyo couseling ndio basi tena unaachiwa kama mguuni au ????...washikilie hao wakupeleke shule ....bado mdogo wewe...sijui walisema kwenye TV una certificate gani vile...You need a degree my dear

    Put that trophy down now and start thinking about your plans now.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2007

    Hahahahaha..Wewe anony wa sinia la vitumbua umeniuwa mbavu, nimecheka hadi nimesikia chakula tumboni kinataka kurudi mdomoni..Lah..Nikarejea kwenye pozi, nikaona ni kweli tupu ulivyosema!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 11, 2007

    Lakini unasemaje vile vitumbua saafi vimepigwa vumbi siku nzima.Au anauza kunguru kabuku.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 13, 2007

    daaaaa mtoto mdogooooo...ungekuwa ugaibuni hata clab huend wala bia hunywi....hapy birthday

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...