
Hi!
Today is Flavia's birthday she turns 20! All messages and best wishes can be sent to missuniversetz@hotmail.com and will be forwarded to her!
Thanks
Maria
HEPI BETHDEI TU YUU
HEPI BETHDEI TU YUUUUUU
HEPI BETHDEI DIA FLAVIIIIII
HEPI BETHDEI TU YUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Hilo kombe limetengenezwa na wanaume, wanaume wana tabia waki desgn kitu lazima kiwe na shape ya ninii yao, kasoro wameongeza mkia wa tausi juu ya kichwa chake.
ReplyDeletekuna watu bado wanafungua akaunti za HOTMAIL?
ReplyDelete"The more you praise and celebrate your life, the more there is in life to celebrate".
ReplyDeleteMany people realize their hearts' desires late in life. Continue learning, never stop striving and keep your curiosity sharp, and you will never become too old to appreciate life.
HAPPY BIRTHDAY and ENJOY YOUR BIG DAY
Nadhani wameshakununilia hata kalaptop basi utaweza kusoma mwenyewe huku kwenye Michuzi blog our wishes....
mmmh hii pose sijaisajili jamani katika kufuliwa huyu hakufundishwa jinsi ya kupose, hapo utafikiri amebeba sinia la vitumbua anauza kwenye kituo cha mabasi tena pale mombo
ReplyDeleteMiaka 20! mkubwa sasa, hakikisha hutetereki katika masuala uliyojipangia kuyafanya na mungu atakusaidia....Happy birthday to you.
ReplyDeleteMaria, haste haste. Naona karibu unaanza ku-override suala la Flaviana. Kumbuka kila ngoma na tamati yake.
ReplyDeleteMgema akisifiwa ..........
Happy Birthday Flaviana!!!!!
ReplyDeleteHappy birthday lakini what is your futurre plan...Ukishapigwa hiyo couseling ndio basi tena unaachiwa kama mguuni au ????...washikilie hao wakupeleke shule ....bado mdogo wewe...sijui walisema kwenye TV una certificate gani vile...You need a degree my dear
ReplyDeletePut that trophy down now and start thinking about your plans now.
Hahahahaha..Wewe anony wa sinia la vitumbua umeniuwa mbavu, nimecheka hadi nimesikia chakula tumboni kinataka kurudi mdomoni..Lah..Nikarejea kwenye pozi, nikaona ni kweli tupu ulivyosema!
ReplyDeleteLakini unasemaje vile vitumbua saafi vimepigwa vumbi siku nzima.Au anauza kunguru kabuku.
ReplyDeletedaaaaa mtoto mdogooooo...ungekuwa ugaibuni hata clab huend wala bia hunywi....hapy birthday
ReplyDelete