wadau kibao wamekuwa wakiniuliza ni nini hobi yangu baada ya kazi. huu mchezo wa bowling ndo hobi yangu. kila jumapili utanikuta nacheza pale hoteli ya sea cliff. naona wadau waosha vinywa mnaguna kwa kudhani dar ya leo ni ya jana...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2007

    MISUPU UNA MBWEMBWE,LAKINI NAKUAMINIA BABAAKE.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2007

    Kamba hizo Michuzi. Umeenda kushika hilo dungu na kusimama hapao pa kuchezea, basi, lakini huchezi huo mchezo. Bosheni hiyo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2007

    Hivi hii bowling alley ina lanes ngapi na inaitwaje?

    ReplyDelete
  4. Kama hobi yako iko huko 'bwana asifiwe'.Maana tushakuwa na hofu kuwa hobi yako ni walee wadau ambao style yako ya kuwatambulisha kwenye blog hii mmh ilikuwa ya utata maana lazima mkono kwenye nyonga.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2007

    Safi sana huu mchezo ni mzuri na unavutia sana!!!sema huku uk naona ni ghali sana!!sasa sijui huko home itakuaje.naupenda kinoma.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2007

    MMmmmhh hivi michuzi suruali yako iko sawa kweli hapo katikati mbona kama pana maji

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2007

    Michuzi Karate siku hizo umetema? Zanaki huendi tena hata picha za Sensei Bomani hupigi tena siku hizi? Umetutema mshikaji!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2007

    bowling na raba mtoni wapi na wapi yaheee!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 04, 2007

    mzee una sherehekea mafanikio ya WM Utility whatever they call it.... Hongera sana shea yako ina thamani pale. Baada ya kucheza bowling nenda katuletee wale wezi waje wajibu maswali. Kimya kimezidi mheshimiwa!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2007

    Ephraim S.K.
    Yalaaaaaaa......Shehe kwa shabaha nakuaminia, itabidi tuwasilianne shehe ukanifamisha jinsi ya kulenga...vichupa hivyo maana mimi si maridadi sana katika kulenga

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 06, 2007

    Hii hobby ya Bowling imeanza lini?, if ni miaka hii hii ambapo Bowling imefika bongo, then its not your number one hobby. Capice

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 07, 2007

    michuzi lakini si unajua bongo haijaifikia Kenya ktk mambo mambo fulani ?kabla ya kuanza kuosha kinywa kwa tulio ughaibuni vuta kumbukumbu zako za miji kama Nairobi kwa East Africa, au Jo burg, wabongo tupo nyuma kimawazo, sijui nini unachoona wewe ni chaajabu hat kupost picha za magorofa mapya.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 07, 2007

    michuzi, linganisha mambo na kenya alaafu ndio ulinganishe na ughaibuni, on my way home nilipitia kenya uwongo,hawa sijui mganga wao nani,when it comes to STANDARDS these guys know what they are doing, trust me pounds nilizotumia kenya were worth it,kuingia bongo it was the opposite

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...