Home
Unlabelled
hobi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MISUPU UNA MBWEMBWE,LAKINI NAKUAMINIA BABAAKE.
ReplyDeleteKamba hizo Michuzi. Umeenda kushika hilo dungu na kusimama hapao pa kuchezea, basi, lakini huchezi huo mchezo. Bosheni hiyo.
ReplyDeleteHivi hii bowling alley ina lanes ngapi na inaitwaje?
ReplyDeleteKama hobi yako iko huko 'bwana asifiwe'.Maana tushakuwa na hofu kuwa hobi yako ni walee wadau ambao style yako ya kuwatambulisha kwenye blog hii mmh ilikuwa ya utata maana lazima mkono kwenye nyonga.
ReplyDeleteSafi sana huu mchezo ni mzuri na unavutia sana!!!sema huku uk naona ni ghali sana!!sasa sijui huko home itakuaje.naupenda kinoma.
ReplyDeleteMMmmmhh hivi michuzi suruali yako iko sawa kweli hapo katikati mbona kama pana maji
ReplyDeleteMichuzi Karate siku hizo umetema? Zanaki huendi tena hata picha za Sensei Bomani hupigi tena siku hizi? Umetutema mshikaji!!
ReplyDeletebowling na raba mtoni wapi na wapi yaheee!!
ReplyDeletemzee una sherehekea mafanikio ya WM Utility whatever they call it.... Hongera sana shea yako ina thamani pale. Baada ya kucheza bowling nenda katuletee wale wezi waje wajibu maswali. Kimya kimezidi mheshimiwa!!!!
ReplyDeleteEphraim S.K.
ReplyDeleteYalaaaaaaa......Shehe kwa shabaha nakuaminia, itabidi tuwasilianne shehe ukanifamisha jinsi ya kulenga...vichupa hivyo maana mimi si maridadi sana katika kulenga
Hii hobby ya Bowling imeanza lini?, if ni miaka hii hii ambapo Bowling imefika bongo, then its not your number one hobby. Capice
ReplyDeletemichuzi lakini si unajua bongo haijaifikia Kenya ktk mambo mambo fulani ?kabla ya kuanza kuosha kinywa kwa tulio ughaibuni vuta kumbukumbu zako za miji kama Nairobi kwa East Africa, au Jo burg, wabongo tupo nyuma kimawazo, sijui nini unachoona wewe ni chaajabu hat kupost picha za magorofa mapya.
ReplyDeletemichuzi, linganisha mambo na kenya alaafu ndio ulinganishe na ughaibuni, on my way home nilipitia kenya uwongo,hawa sijui mganga wao nani,when it comes to STANDARDS these guys know what they are doing, trust me pounds nilizotumia kenya were worth it,kuingia bongo it was the opposite
ReplyDelete