mpira umekweishaa. tumeshinda 1-0!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    Alhamdulilah, Bwana asifiwe na ashukuriwe. Tumeona mwezi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2007

    TUNATISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
    HAPO PIGA UA LAZIMA TUMALIZE NA POINT 11,
    SS HAPO LEO SENEGAL AFUNGWE TUUUUUU ILI MSUMBIJI AFIKISHE POINT NANE,NA AJE KUFIA BONGO

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2007

    MBONI RAHAAAA!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2007

    nawapongeza vijana pamoja zengwe la refa. mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2007

    Michuzi acha kutuzingua mbona site zote hazisemi kama mechi imekwisha--ama unakuwa refa wewe nini?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2007

    FAGILIA BABAAKE !! VIJANA WA JK LEO WAMEKAMUA FRESH, WAKIRUDI LAZIME WAKALE PILAU TENA IKULU !!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2007

    Hongereni sana vijana. Haya ndio matunda ya ushirikiano baina ya wadau wa soka na wananchi kwa ujumla. Tunawaombea heri katika mechi iliyobaki tuweze kufika Ghana.

    Kaka Michu, keep up the good work you are doing of keeping us informed about various issues happening home and abroad.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 16, 2007

    Huu mji utakuwa mdogo sana kesho! Mulioko ughaibuni nataka kuwaambia kuwa Tumeloga sana mechi hii. O'C-Sinza

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2007

    Jamani tunaenda Ghana, hamna mtu wa kutusimamisha, hapa Msumbuji mambo kesho, Senegal wanaogopa sana, wamekataa hotel waliyopangiwa, pia wana imani za kichawi kishenzi.... Tanzania Oyeee,

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 16, 2007

    Nasikia Bongo ni Full shangwe saa hii!! nawafagilia sana naona sasa wameanza kuelewa somo la mbrazil,kilichobaki ni kukamua mechi ya mwishooooo,poa sana vijana- Cass

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 16, 2007

    Tumeshinda, tumefurahi na vijana tunawapongeza. Lakini kwa jinsi michezo ilivyosahaulika katika bajeti hii ya 2007/08, huko tuendako tutaendelea kushinda? Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 16, 2007

    natamani ningekua bongo, maana naona leo watu hawalali huko

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 16, 2007

    huyo mwandishi wa website ya bbc kanitia kichefuchefu, ile conclusion yake kwenye live score FULL TIME: pale anaposema ...Tanzania is likely to lose top spot to Senegal when teranga lions play Mozambique tomorrow'.. nasema hivi.. kesho msumbiji akidinda ... hakyanani sijui ataandika nini

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 16, 2007

    Aisee kama Anony wa 11:35, huyu jamaa wa BBC kaonyesha dharau sana.Hata kama sisi ni vibonde, tupe heshima yetu bwana.Pambaf sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...