mdau mohamed mashaka a.k.a moddy akiwa na mwana mfalme edward wa wessex akimuelezea njia anayoitumia kutengeneza tovuti ya organaizesheni inayoitwa 'citizen advice scotland'. yeye ni mwaajiriwa katika kampuni hiyo iliyoko scotland akiwa na cheo cha msaidizi wa masoko na habari. hapo alichomekea mada ya kuitangaza jinsi bongo ilivyo babkubwa katika uchumi na kwa vivutio mbalimbali vya uwekzaji na utalii.
mwana mfalme alivutiwa sana na mdau huyu kwa kuzingatia kuwa alikuwa mmatumbi pekee aliyekuwapo hapo kujifunza shughuli mbalimbali za kiutendaji kwa kutarajia kuwa uzoefu wake utamuwezesha kuchangia katika kukua kwa maendeleo bongo. aliopoa pia cheti cha utambulisho kwa kuwa mmatumbi anayejishughulisha na shughuli za kijamii huko aliko katika kitongoji cha lanarkshire kwa muda usiopungua masaa mia mbili. nondo hiyo itasainiwa na first minister of scotland aitwaye alex salmond.
maswali????

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2007

    Former Mwenyekiti wa ITSADU safii.Endelea vivyo hivyo.Nakutakia kila la kheri.Mimi former mjumbe wako majutoc@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2007

    hongera kaka ulikuwa na juhudi toka Daruso

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2007

    hongera kaka ulikuwa na juhudi toka Daruso....mkyashi2002@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2007

    hongera kaka we ni kati ya vijana wachache toka sea view wanaofanya wonderz huko uk

    ReplyDelete
  5. Hongera Mohammed kwa kazi nzito uliyoikamisha na katika muda wake maalum. Nakutakia kila la kher m.mungu akufungulia yote yaliyo na kher na wewe katika muda muafaka.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Mohammed kwa kazi nzito uliyoikamilisha na katika muda wake maalum. Nakuombea kila la kheri na m.mungu akufungulia yaliyo na kher na wewe katika muda muafaka. Kila la kheri brother.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...