
mdau mohamed mashaka a.k.a moddy akiwa na mwana mfalme edward wa wessex akimuelezea njia anayoitumia kutengeneza tovuti ya organaizesheni inayoitwa 'citizen advice scotland'. yeye ni mwaajiriwa katika kampuni hiyo iliyoko scotland akiwa na cheo cha msaidizi wa masoko na habari. hapo alichomekea mada ya kuitangaza jinsi bongo ilivyo babkubwa katika uchumi na kwa vivutio mbalimbali vya uwekzaji na utalii.
mwana mfalme alivutiwa sana na mdau huyu kwa kuzingatia kuwa alikuwa mmatumbi pekee aliyekuwapo hapo kujifunza shughuli mbalimbali za kiutendaji kwa kutarajia kuwa uzoefu wake utamuwezesha kuchangia katika kukua kwa maendeleo bongo. aliopoa pia cheti cha utambulisho kwa kuwa mmatumbi anayejishughulisha na shughuli za kijamii huko aliko katika kitongoji cha lanarkshire kwa muda usiopungua masaa mia mbili. nondo hiyo itasainiwa na first minister of scotland aitwaye alex salmond.
maswali????
Former Mwenyekiti wa ITSADU safii.Endelea vivyo hivyo.Nakutakia kila la kheri.Mimi former mjumbe wako majutoc@yahoo.com
ReplyDeletehongera kaka ulikuwa na juhudi toka Daruso
ReplyDeletehongera kaka ulikuwa na juhudi toka Daruso....mkyashi2002@yahoo.com
ReplyDeletehongera kaka we ni kati ya vijana wachache toka sea view wanaofanya wonderz huko uk
ReplyDeleteHongera Mohammed kwa kazi nzito uliyoikamisha na katika muda wake maalum. Nakutakia kila la kher m.mungu akufungulia yote yaliyo na kher na wewe katika muda muafaka.
ReplyDeleteHongera sana Mohammed kwa kazi nzito uliyoikamilisha na katika muda wake maalum. Nakuombea kila la kheri na m.mungu akufungulia yaliyo na kher na wewe katika muda muafaka. Kila la kheri brother.
ReplyDelete