Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2007

    hii kufuru!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2007

    Well, Kwenye hii cake I think they could do better than that...mapambo ya ukumbi mazuri sana lakini ths cake it is okay....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2007

    Keki ni nzuri.. lakini hizo SHELA zilizotumiwa kupambiwa hizo keki haziendani kabisa na huo ukumbi, manake ukumbi umetoka bomba kinomi!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2007

    dah sasa hao hapo juu ya keki mbona wazungu???kwani hakuna hivo vinyago vya weusi nakumbuka kuna swahba wangu mmoja alikipaka rangi nyeusi hicho cha kiume mana alikua anaoa mzungu na ye ni mweusi!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2007

    Sir Issa KEKI INAVUUTIA..ONDOA WAZUNGU KAMA NI WEUSI WAHUSIKA WA NDOA...HALAFU MWAMBIE MBUNIFU.. KWASABABU KEKI "..IS MORE THAN INAFU.." KUNA UTAALAM WA KUHIFADHI HIYO KEKI KWA MUDA MREFU WATASHEREKEA KILA MWAKA .."..IF POSSIBLE.." MPAKA....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2007

    Hakuna UBUNIFU wowote hapo. Ni kupoteza unga na sukari tu. Keki zote ni zile zile, zina marembo yalele yale. Sana sana ni kwamba ziko nyingi nyingi tu na kazitawanya

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2007

    Mapambo ya ukumbi ni mazuri sana lakini hii cake kweli mimi sikupenda hiyo shela..Sijui wameweka ya nini. Imeondoa attention detals za cake.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2007

    HIYO MIKEKI YA TANZNANIA WANAIFANYA MIKUBWA SANA MINGI TU HAINA CHOCHOTE ZAIDI YA MASUKARI NA UNGA. MTU UKIENDA UKITAFUTA MJUZI HASA AKAKUTENGENEZEA KAJIKEKI CLASS NA QUALITY.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2007

    Inawezekana nimepitwa na wakati lakini mimi bado napendelea keki ya ndafu - mbuzi mzima na pembe zake. Now that was creative...what do you think guys and gals?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2007

    Hizo ni bosheni tu...sio zote ni keki hapo,zingine ni mfano wa keki.Keki mbili au tatu...zingine ni mifano kwa ajili ya kupendezesha na kusindikiza the real cakes!!!...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...