Home
Unlabelled
keki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii kufuru!!!!!!
ReplyDeleteWell, Kwenye hii cake I think they could do better than that...mapambo ya ukumbi mazuri sana lakini ths cake it is okay....
ReplyDeleteKeki ni nzuri.. lakini hizo SHELA zilizotumiwa kupambiwa hizo keki haziendani kabisa na huo ukumbi, manake ukumbi umetoka bomba kinomi!
ReplyDeletedah sasa hao hapo juu ya keki mbona wazungu???kwani hakuna hivo vinyago vya weusi nakumbuka kuna swahba wangu mmoja alikipaka rangi nyeusi hicho cha kiume mana alikua anaoa mzungu na ye ni mweusi!
ReplyDeleteSir Issa KEKI INAVUUTIA..ONDOA WAZUNGU KAMA NI WEUSI WAHUSIKA WA NDOA...HALAFU MWAMBIE MBUNIFU.. KWASABABU KEKI "..IS MORE THAN INAFU.." KUNA UTAALAM WA KUHIFADHI HIYO KEKI KWA MUDA MREFU WATASHEREKEA KILA MWAKA .."..IF POSSIBLE.." MPAKA....
ReplyDeleteHakuna UBUNIFU wowote hapo. Ni kupoteza unga na sukari tu. Keki zote ni zile zile, zina marembo yalele yale. Sana sana ni kwamba ziko nyingi nyingi tu na kazitawanya
ReplyDeleteMapambo ya ukumbi ni mazuri sana lakini hii cake kweli mimi sikupenda hiyo shela..Sijui wameweka ya nini. Imeondoa attention detals za cake.
ReplyDeleteHIYO MIKEKI YA TANZNANIA WANAIFANYA MIKUBWA SANA MINGI TU HAINA CHOCHOTE ZAIDI YA MASUKARI NA UNGA. MTU UKIENDA UKITAFUTA MJUZI HASA AKAKUTENGENEZEA KAJIKEKI CLASS NA QUALITY.
ReplyDeleteInawezekana nimepitwa na wakati lakini mimi bado napendelea keki ya ndafu - mbuzi mzima na pembe zake. Now that was creative...what do you think guys and gals?
ReplyDeleteHizo ni bosheni tu...sio zote ni keki hapo,zingine ni mfano wa keki.Keki mbili au tatu...zingine ni mifano kwa ajili ya kupendezesha na kusindikiza the real cakes!!!...
ReplyDelete