mwimbaji salehe kupaza na mpiga solo (hap anapiga rizim) wa twanga pepeta shakazia

wakiwajibika bustani ya embe. hawa mabwana ni muhimili wa bendi hiyo maarufu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2007

    aminia sheikh michuzi

    twanga bwana ni kisima cha burudani utake usitake hakuna wa kuifananisha hongera sana kiongozi my´zee wa mustachi baba amigolas mambo ni mbele kwa mbeleeeeeeeeeeeeeeee wataeleza wao sisi hatusemi lini mnakuja kwa queen tunawasubiri kwa hamu sana

    kiongozi uk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...