Home
Unlabelled
lagazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu bwana nahisi ni Mugasa mzee wa voda hayaaaaaa
ReplyDeletewee mugasa wewe pombe zitakumaliza rafiki yangu!!
ReplyDeletezikimmaliza si yeye kivyake,kamua babaake achana na wabongo hawakosi uzushi!
ReplyDeletedaaa eeh bwana eeh mimi umenimaliza nimemind hivo vidole lalala umeoa lakini nisije leta ugomvi bure kama vipi weka contact tuwasiliana
ReplyDeleteYewe Mugasa shaaaaa!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteNyie Watoto wacheni kunywa huo MKOJO WA FIRAUNI! Ohoo! Shauri zenu!
ReplyDeleteWe Mugasa we!!!!, Acha kufakamia pombe za shughuli....
ReplyDeleteMichuzi nakupa hongera kwa hii picha. Yaani inafaa sana hata kwa tangazo la bia. hebu wasiliana na makampuni ya Laga, ukitumia Adobe kidogo hapo kuongeza brand unaweza kuvuna kitita.
ReplyDeletePili picha imenitamanisha mpaka nimekwenda kununua laga yangu na mimi.
Yaani hii picha inasisimua kiu ya bia, we acha tu!
kulaleki walahi hii picha inaleta kiu babake
ReplyDelete