mdau akifakamia ze lagazz kwenye mnuso...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2007

    Huyu bwana nahisi ni Mugasa mzee wa voda hayaaaaaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2007

    wee mugasa wewe pombe zitakumaliza rafiki yangu!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2007

    zikimmaliza si yeye kivyake,kamua babaake achana na wabongo hawakosi uzushi!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2007

    daaa eeh bwana eeh mimi umenimaliza nimemind hivo vidole lalala umeoa lakini nisije leta ugomvi bure kama vipi weka contact tuwasiliana

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2007

    Yewe Mugasa shaaaaa!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2007

    Nyie Watoto wacheni kunywa huo MKOJO WA FIRAUNI! Ohoo! Shauri zenu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2007

    We Mugasa we!!!!, Acha kufakamia pombe za shughuli....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2007

    Michuzi nakupa hongera kwa hii picha. Yaani inafaa sana hata kwa tangazo la bia. hebu wasiliana na makampuni ya Laga, ukitumia Adobe kidogo hapo kuongeza brand unaweza kuvuna kitita.

    Pili picha imenitamanisha mpaka nimekwenda kununua laga yangu na mimi.

    Yaani hii picha inasisimua kiu ya bia, we acha tu!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2007

    kulaleki walahi hii picha inaleta kiu babake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...