
mahandaki yanarudi tena dar taratibu kufuatia jamaa wanaotandika mabomba mapya ya maji safi na maji taka kutotengeneza kwa lami pale walipofukua. cheki shangingi la mh. jaji linavyosota kupita handaki hilo. yaani zali hili la kudhi lipo karibu kila barabara jijini - dc wa ilala mh. tsere na wenzio wah. ma-dc wa temeke na kinondoni mpoooo???
Tatizo letu Watanzania Hatuna utamaduni wa kujali na matengenezo .Hii sehemu ikiwahi kutengenezwa haitakuwa tatizo kubwa wala kughalimu pesa nyingi lakini hapo kinachosubiliwa mpaka Rais au Waziri Mkuu apite na aseme kwamba kumeharibika hivyo mawaziri na wakurugenzi wote watashinda hapo kusimamia matengenezo.Hivi jamani hata matengenezo madogo mpaka viongozi wa juu waseme !!! nadhani wengine mkowapi jamaniiii
ReplyDeleteKwa utamaduni wetu hapo tunamngoja JK au waziri mkuu apite na wawaambie watendaji wao kuwa kumeharibika na kunahitaji matengenezo kwani hapo ni karibu sana na ofisi ya waziri mwenye dhamana ya Barabara lakini aoni hilo shimo mpaka wapite wakuu wake.Jamani tubadilike jamani tusingoje kuambiwa vitu vidogovidogo tujitume jamani!!!!DUU Hivi Rais wetu atafanya mangapi ikiwa hata madogo mnashindwa kumsaidia.
ReplyDeletethat car goes with that pit hole.We should all buy such cars.ahahahhhhh
ReplyDeleteMichu umetupa swali na jibu.Tutanunua na sie M/Mungu akipenda.
Bongo kungekuwa na sheria ya ku-sue kama mtoni naona ingekuwa fundisho kwa hao mawaziri. Judge ni mtu mwenye wadhifa sana, kama ndio atakuwa anapitishwa mtaani taratibu hivi ni hatari kutokana na kazi zao. Tushukuru Mungu tu kuna Amani nchini vinginevyo ni hatari sana. Inabidi hao mawaziri/wakuu wa wilaya/IGP/ waamgalie hilo....
ReplyDeleteWhat a stress!!Mtu unanunua gari bei mbaya,lipia kodi hapa na pale na bado unalidhuru gari hilo kwa kulipitisha barabara kama hii?
ReplyDeleteSasa hao wahusika wanafanya nini hasa masaa 8 waliyoko kazini?Au inabidi Rais au makamu wake atake kupita ndo pafanyiwe ukarabati?