MAHUSIANO.COM
Kwa taarifa zilizo patikana sasa hivi Mahusiano.com haipo hewani kwa muda kutokana wamenunua Servers mpya ambapo kwa sasa wanafanya mambo ya ufundi kuwezesha zina anza kufanya kazi.
Kwa Sasa wameiweka kwa muda hapa ila utakuwa na uwezo wa kusikiliza Radio yao tu.
Mahusiano.com inajitahidi kwa hali na mali kumaliza mambo ya ufundi ktk servers hizi mpya ili irudi hewani.
Tunasikitika kwa usumbufu wowote ule.
Nashukuru,
© Mahusiano.com

michuzi umebadilisha picha yako ya hapo juu kulia nini? maana leo naingia kwenye blog tu nakutana na jamaa handsome, nikafikiri nimeingia kwenye blog nyingine.
ReplyDeleteKIKOSI CHA YANGA KIPO NJIA PANDA KWA SABABU KINA WACHEZAJI WASIYOFUNDISHIKA.........
ReplyDeleteduh, nimepata bonge la relief kusikia jamaa wanafanya ukarabati. Jinsi nilivuozoea kuwasikiliza, nidhani mtandao wanguunanifanyia fitina kuna sio.
ReplyDeleteMahusiano, kuna mtu anawaibia bandwidth yenu nini? Maana kuna website fulani nimeona tangu jana usiku wananyonya nyimbo zenu live. Kwahiyo nyie mnagawa bandwidth mwingine anafaidika. Yaani kafanya copy and paste, yeye akaweka bluu, nyie nyekundu.
ReplyDeleteAloo Anony wa 1:46, hiyo web site nyingine inaitwaje?..if you don't mind
ReplyDelete