MAHUSIANO.COM
Kwa taarifa zilizo patikana sasa hivi Mahusiano.com haipo hewani kwa muda kutokana wamenunua Servers mpya ambapo kwa sasa wanafanya mambo ya ufundi kuwezesha zina anza kufanya kazi.

Kwa Sasa wameiweka kwa muda hapa ila utakuwa na uwezo wa kusikiliza Radio yao tu.

Mahusiano.com inajitahidi kwa hali na mali kumaliza mambo ya ufundi ktk servers hizi mpya ili irudi hewani.

Tunasikitika kwa usumbufu wowote ule.

Nashukuru,
© Mahusiano.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2007

    michuzi umebadilisha picha yako ya hapo juu kulia nini? maana leo naingia kwenye blog tu nakutana na jamaa handsome, nikafikiri nimeingia kwenye blog nyingine.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2007

    KIKOSI CHA YANGA KIPO NJIA PANDA KWA SABABU KINA WACHEZAJI WASIYOFUNDISHIKA.........

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2007

    duh, nimepata bonge la relief kusikia jamaa wanafanya ukarabati. Jinsi nilivuozoea kuwasikiliza, nidhani mtandao wanguunanifanyia fitina kuna sio.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2007

    Mahusiano, kuna mtu anawaibia bandwidth yenu nini? Maana kuna website fulani nimeona tangu jana usiku wananyonya nyimbo zenu live. Kwahiyo nyie mnagawa bandwidth mwingine anafaidika. Yaani kafanya copy and paste, yeye akaweka bluu, nyie nyekundu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2007

    Aloo Anony wa 1:46, hiyo web site nyingine inaitwaje?..if you don't mind

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...