maria sarungi-tsehai akimuandaa flaviana kabla ya kupigwa picha wakati wa mkutano wao na waandishi leo hoteli ya new africa. pamoja na mambo kibao aliyoelezea juu ya fanaka yake ya kihistoria ya kuibuka 10 bora miss universe, flaviana alitoa rai kwamba vazi la kuogelea lisibaniwe bongo bali liruhusiwe kwani huko kwenye mashindano ya dunia bila hilo pointi huwa noti richebo na kwamba haiiingii akilini kuzuiwa kuvaa vazi hilo bongo wakati nje ni kama kawa na hamna noma wala nini. wadau mnauonaje mjadala huu aliouanzisha flaviana? je vazi la ufukweni ama 'vichupi' kama linavyonadiwa hasa na magazeti ya udaku liruhusiwe kwenye mashindano ya ulimbwende bongo??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2007

    Duuuuuh! bado mnazidi kumvisha magauni ya Kizimbabwe?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2007

    Ninavyosikia mimi ni kwamba hao ma-Miss au ma-Model sijui, huwa wanatakiwa wawe na saizi maalumu za kifua, matitiu, kiuno, mahips n.k.
    Sasa hilo vazi la ufukweni ni mahsusi kwa ajili ya hao majaji kuona live hivyo vipimo wanavyovitaka vya hivyo viyu nilivyovitaja hapo juu, badala ya kuvikisia tu vikiwa ndani ya full nguo.
    Sasa. Anyway. Mi sijui!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2007

    Sir Issa shukrani kwa "..TAARIFA HII.."mimi sikufahamu kama kivazi murua kama cha ufukweni.."..CHUPI.." NA "..SIDIRIA.." limebaniwa huko "..BONGO.." INAMAANA HAKUNA ALIYEANGALIA ZILE CHUPI KWENYE " TV " (MISS UNIVERSI) huko bongo ??..CHUPI KIBAO HUMU MWENYE BLOG YAKO issa, IKIWEMO YA FLAVIANA..TENA IMEMPENDEZA SAAANA..".."...TUNACHOTAKIWA KUACHA NI ..UFUSKA NA NGONO...KAMAHUTAKI KUANGALIA BADILISHA CHANEL PU%^&*$#FU...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2007

    Rafiki yangu Maria Sarungi, pamoja na weupe wako unaopendwa sana na wasukuma, hapo huoni ndani. Flaviana ni mzuri wa yake. Wadau mpeni haki yake.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 08, 2007

    kwanza kabisa flav leo umependeza sana,hongera!!

    maria hiyo minywele yako haikupendezi nadhani ujue wewe una baby face, afu mwembamba, mzuri, sasa hiyo minywele inaonekana inakulemea vile yaani sijui nisemeje?? hujawahi kushauriwa kweli!!

    Flav mdogo wangu, wewe mbantu wa shinyanga unajua kabisa desturi zetu na mila, leo hii unapigia debe vichupi?? hivi wewe unafurahia ukikaa uchi mbele ya watu?? kama ilikuwa jambo zuri kwako kwanini ulihitaji canceling.?? acha kabisa!! kama ni lazima kuonyesha uchi mi nadhani fanyieni hukohuko, kupunguza makali. kwanza ivi mibaba ya kibongo ni yakuonyesha chupi kweli?? mtoto taratibu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2007

    Mdogo wangu Flavia amini usiamini kipara ndio kimekutoa,nakupongeza kwa hatua hiyo,ila hiyo picha sijaipenda naona kama inatia huruma vile.Maria babkubwa wewe nadhani unamfuatia Asha Baraka kwa ujasiri,naomba nikupe nick name ya IRON LADY JUNIOR.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 08, 2007

    MICHUZI KAMA UNATAKA MJADALA WA FLAVIANA UENDELEE, UTAKUWA UMEISHIWA NA MADA KWENYE BLOG YAKO.
    MJADALA MKUBWA NA UNAOWAGUSA WENGI NI WTM UTILITY YA UK AMBAO HADI SASA HAUJAPATIWA UFUMBUZI.
    JUZI ULIKUWA KWENYE MKUTANO NA JK KULE IKULU. UMESHINDWA KUMUULIZA RAIS SWALI HILO AMBALO NADHANI KWA VYOVYOTE VILE LAZIMA ANGETAKA LIPATIWE UFUMBUZI NA MAJIBU YAPATIKANE.
    KWA VILE UMEKUBALI KUTUMIA BLOG YAKO KUPITISHA SUALA LA WTM, SI VIBAYA UKABEBA MZIGO NA KULIVALIA NJUGA SUALA HILI?
    LAKINI CHA KUSHANGAZA UNASHIKIA DEBE MAHANDAKI, FLAVIANA, MUSTAFA HASSANALI NA MAMBO MENGINE YASIYO YA MSINGI.
    HILI NI SUALA KUBWA NA LENYE KUGUSA WENGI. WATU WAMEGUSWA NA HILI NA WANA MPANGO WA KWENDA KUMUONA BALOZI HUKO UK, LAKINI WEWE AHAAAAAA...FLAVIANA, MAHANDAKI, HASSANALI KAMA VILE HUJUI MAANA YA FOLLOW-UP YA STORY.
    USIFANYE WANAOCHANGIA BLOG HII WAKAPAA MBAWA. KUMBUKA UMAARUFU SIYO KUWA NA BLOG, NI VITENDO VYAKO VYA KULA SAHANI MOJA NA WANAOTAKA KUDHULUMU NA KUNYONYA MALI ZA WANANCHI......MLALAHOI

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 08, 2007

    MARIA,

    kama tunavyojua kiinglish SI lugha yetu na tunajifunza, basi pawepo na kautaratibu si lazma kawe rasmi ila kawepo kakujaribu KUNYOOSHA kingereza cha hawa mabinti, kwani nimemsikiliza flaviana na bila kumoffend kwa namna yoyote,alipindisha kingereza chake kidogo...

    au waongee tu kiswahili na wanaojua watafsiri kwani ndio kujivunia vya kwetu..

    hivi ni nionavyo mimi...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 08, 2007

    Ehee bwana Michuzi unajua ukitaka kuyavulia maji nguo lazima uyaoge. Kama TZ tumeamua kuingia kwenye mashindano ya ulimbwende basi habari ya vichupi siwe kikwazo, maana ni sehemu ya mchezo, na tukipiga marufuku ni unafiki mkubwa otherwise tujiondoe kwenye sakata lote la ulimbwende.

    GAZ

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 08, 2007

    NAOMBA TUFAUTISHE URAYA NA TANZANIA

    TANZANIA TUNAUSONGO!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 08, 2007

    SASA HAPO FLAVIAN UNATA MAMBO YA AJABU...
    NA SISI TANZANIA TUNA TRADITIONAL ZETU

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 08, 2007

    tutakuwa tunachochea ufuska kama vile watu wakienda fiesta!!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 08, 2007

    JAMANI TUNA TAKA KUCONTROL UKIMWI AU TUNATAKA KUUSTIMULATE

    WE MATATA HUYO MWALIMU WAKO W PSYCHOLOGIA NDIVYO ALIVYOKUSOMESHA???

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 08, 2007

    MIMI NINAONA MWANAMKE AKIWA HAFUNGULIWI FUNGILIWI CHUPI.... NDIYO ANAKUWA MZURI SIKU YA KUVUA

    KWA HIYO BORA WANAWAKE ZETU WA KITANZANIA TUNAOWAPELEKA KWENDA KUGOMBANIA UMISI... TUSIWAVUE WENYEWE HAPA KWETU

    WAENDE WAKAVULIWE HUKO HUKO NDIYO WATAKUWA WANAPENDEZA ZAIDI AU MNAONA VIPI WADAU..????

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 08, 2007

    sasa flavian matata usitake kufananisha wewe na waTanzania wengine

    wewe kwanza una upara

    watanzania wanatisha ivo

    mwanamke hasa wa kitanzania akavae chupi tu mbona hatari

    kama wewe ukivaa chupi Ah fresh tu hata hatushtuki.

    mimi

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 08, 2007

    Mmmmhhhh. Ukimwangalia vizuri Flaviana katika hii picha she looks very ordinary. Ni kama binti ye yote tu wa kawaida toka kule kwetu Kongwa. Sijui ni nguo au nini? Hana ule mvuto wa awali (katika hii picha).

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 09, 2007

    Mjadala Mgumu huu!! Kazi ipo!!! Mi nasubiri maoni ya Maria Sarungi!!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 09, 2007

    Anony 8:27 Flavia hana uzuri wa kitanzania au wa majorit ya wanawake nchini au ulimwenguni. Kwa vile kama ingekua hivyo basi kusingekua na sababu ya hayo mashindano.

    Flavia ana uzuri wa mamodel. Marazote mamodel nilazima uwavalishe ngupo zinazoendana na miili yao otherwise utashangaa.

    Kumbuka wale watoto waliokua na maumbo hayo shuleni bado wadogo lakini walikua wanataniwa sana. Kwa ajili ya urefu wao na wembemba wao..

    Ukienda NY City live ni wembamba sana na warefu sana.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 09, 2007

    TUMECHOKA NA MAMBO YA FLAVIANA KILA SIKU FLAVIANA, MICHUZI TUTAACHA KUINGIA BLOG YAKO MAANA INAANZA KUBOA KWANI BONGO HAKUNA STORY NYINGINE ZOZOTE ZAIDI YA FLAVIANA NA MARIA SARUNGI KILA SIKUUU???????

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 09, 2007

    Michuzi change topic

    ReplyDelete
  21. Kuvaa nguo za kuogelea ktk mashindano ya ma-miss au maonyesho ya mitindo ya mavazi ni muhimu vinginevyo tujitoe kabisaaa kwenye hizi shughuli!Si lazima nguo hizo za kuogelea ziwe za kuonyesha mno..Huyo Hassanali wenu tumechoshwa naye!Kwani wanamitindo wengine kwa nini hawapewi nafasi??Kama kawaida yetu wabongo hatujipendi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...