mama techla mjata, mmoja wa wasanii mahiri bongo, akila pozi. yeye ni mmoja wa wasanii ambao wanatarajiwa kuwamo kwenye filamu ya bongoland II ambayo itashutiwa dar mwezi ujao. kwa habari zake na nyingi nyingine juu ya filamu hiyo bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2007

    katika wamama waigizaji ambao nimewapenda ni huyu mama jamani, mama anabusara hekima lazima atakuwa mama wakisambaa huyu. hongera sana mama!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2007

    michuzi huyu mama namuadmire sana yeye na mama bishanga na group zima la enzi zile hakuna mfano wao aiseee wafikishie ujumbe kama wanaweza rudiana tena hivi tekla mgaya yuko wapi?? ukipata picha ya waridi bishanga ritchie seki mama bishanga naomba unitolee wale watu walinimaliza kwenye lile igizo la mama bishanga seki na teckla walipotaka kuuza nyumba ya bishanga halafu na keti pia alikuwa mdogo wa waridi aiseee ale watu walikuwa wanaigizaa sanaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2007

    Basi Bongoland II itakuwa filamu safi sana. Mama Thecla ni mchezaji mzuri sana. Nakumbuka tulikuwa tunangojea michezo ya kuigiza kwenye Radio Tanzania. Wakati huo hakuna TV. Basi hiyo ndo burudani kubwa kweli kweli! Amefuzu kisanaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...